Are you serious mkuu?
Mm mwenyewe nilikuwa nataka nikirudi nyumbani nipeleke hiki kitambulisho kirekebishwe lkn nimeambia hizi toolkit hazina mawasiliano.
Iko ivi.
Kwa ww uliyejiandikisha mahali ambapo sio makazi yako ya kudumu utapata haki ya kupiga kura kwa Rais.
Vinginevyo hata ukija kurudia kujiandikisha uku mashine zitakutema na kusema umesha exist kwenye systerm.
Ushauri kwa mda huu maana kutakuwa na marekebisho kwenye daftari labda usubiri mda huo ili urekebishe ukiwa eneo lako
Sio kweli mashine hazitemi tena za hovyooo mfano uliwekwa hapa jf kuna mtu alijiandikisha mara mbili system imeshindwa kutambua
kwa kifupi tumeumia hili zoezi linaloendelea ni magumashi kuna kesi inaendelea wilaya ya ruangwa mtu alijiandikisha kata mbili tofauti lakini mashine haikumtambua kwakua mungu hamfichi mnafiki jamaa alikamatwa kwa kosa lingine wakati anakabidhi alichonacho aingie selo pochi ikakutwa na vitamburisho viwili,kwa stahili hii kuna uwezekano wapo waliojiandikisha mara mbili au zaidi na wakaweza kupiga kura mara mbili pia.ingawa sheria inatamka kutakua na marekebisho kabla ya uchaguzi na kwa zoezi hili maelekezo ya tume litafanyika mwezi wa nane.
Are you serious mkuu?
Mm mwenyewe nilikuwa nataka nikirudi nyumbani nipeleke hiki kitambulisho kirekebishwe lkn nimeambia hizi toolkit hazina mawasiliano.
lakini kwa mashine ile ile inakataa ..ila ukitumia mashine nyingine inakubali... lakini huruhusiwi kujiandikisha mara mbili
Nimejiandikishia Kagera lkn kituo changu cha kazi ni Kigoma hii ina maana ya kwamba hata siku ya uchaguzi nitakuwa Kigoma
Iko ivi.
Kwa ww uliyejiandikisha mahali ambapo sio makazi yako ya kudumu utapata haki ya kupiga kura kwa Rais.
Vinginevyo hata ukija kurudia kujiandikisha uku mashine zitakutema na kusema umesha exist kwenye systerm.
Ushauri kwa mda huu maana kutakuwa na marekebisho kwenye daftari labda usubiri mda huo ili urekebishe ukiwa eneo lako
Msihangaike kutakuwa na kipindi maalum cha uboreshaji daftari kabla ya uchaguzi. Utakwenda kwa msimamizi wa uchaguzi na utabadilishiwa kituo tena sasa ni rahisi kwa kuwa maelezo yote yako kwenye kadi ya kura. Tume ilikwisha kutoa Maelezo haya.