Ona hawa nao! Kila kitu wanataka wauziwe! Mnakeraa!

Ona hawa nao! Kila kitu wanataka wauziwe! Mnakeraa!

Amicus Curiae

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2012
Posts
5,352
Reaction score
7,668
Mtu tu baki au rafiki yako anaweza akakukuta na eidha simu kali, gari kali, suti kali, kiatu kikali, saa kali n.k

Hapohapo utamsikia "vipi kaka huuzi hii simu?" au "kaka nikuachie sh ngp uniuzie hii gari?" Jamani! kwani mimi ni middle man kwamba nanunua hlf nauza? yani wewe tu ndio unastahili kuwa na vitu vizuri?

Halafu kwa mfano kama hicho kiatu wewe ulinunua elfu 90 na ulikinunulia mbali kidogo (lets say Nairobi), na bado kipo kwenye hali nzuri, ukamwambia akupe laki badala ya elfu tisini ili kucover gharama za usumbufu, yeye anaanza kupiga kelele anunue kwa ileile elfu 90 au pengine pungufu ya hiyo!

Sasa kwanini nisikuelekeze na wewe ukakifata Nairobi?

Shwain!!!!

A.C
 
Ukiona umefanyiwa hvyo ujue huyo kakudharau,ameona kua wewe huna hadhi ya kumiliki hicho au hivyo vitu. Hiyo ni dharau.
 
Mtu tu baki au rafiki yako anaweza akakukuta na eidha simu kali, gari kali, suti kali, kiatu kikali, saa kali n.k

Hapohapo utamsikia "vipi kaka huuzi hii simu?" au "kaka nikuachie sh ngp uniuzie hii gari?" Jamani! kwani mimi ni middle man kwamba nanunua hlf nauza? yani ww tu ndio unastahili kuwa na vitu vizuri?

Halafu kwa mfano kama hicho kiatu wewe ulinunua elfu 90 na ulikinunulia mbali kdg (lets say Nairobi), na bado kipo kwenye hali nzuri, ukamwambia akupe laki badala ya elfu tisini ili kucover gharama za usumbufu, yeye anaanza kupiga kelele anunue kwa ileile elfu 90 au pengine pungufu ya hiyo!

Sasa kwanini nisikuelekeze na wewe ukakifata Nairobi?

Shwain!!!!

A.C

Kama una kitu na mtu yeyote anasema umuuzie maana yake kakuona wewe hustahili hicho kitu. Hiyo ni dharau na usiendekeze kabisa upuuzi huo.
Siku hizi kila kitu kinapatikana kwa nini asiende kununua.
? Sana sana labda aulize ulikonunua. Mtu akija kwangu na upuuzi huo namtoa nduki nyambafu
 
Not necessary mkuu,

Kuna bwana mmoja aliniambia wengine hawawezi kuchagua vitu vizuri, so hadi akione kwa mtu mwingine.

Lkn hata kama, si kashakiona sasa, aulize bei akanunue nilikonunulia au kwengine kinapopatikana.
 
Na kuna hawa omba omba yaan ye akikuona na kitu anakuombaa yaan ye ni kujiombeleza tu badala akanunue anaona we huna faida nacho watu wanachosha kweliiii
Vipi mkuu ile nyumba yako niuzie basii
 
Na kuna hawa omba omba yaan ye akikuona na kitu anakuombaa yaan ye ni kujiombeleza tu badala akanunue anaona we huna faida nacho watu wanachosha kweliiii
Vipi mkuu ile nyumba yako niuzie basii

Hahahaa mkuu Dinazarde hii nyumba siuzi jenga yako.
 
Last edited by a moderator:
Uwe unakubali kuwauzia mkuu tena mwambie kabisa ulikuwa unatafuta mtu wa kumuuzia ila bei yake sasa iwe mara tatu au nne ya bei harisi.
 
watu kama hawa wapo sijui ni hulka zao, ila wanaboa kitu chenyewe utakuta hata uwezo wa kukinunua hana
 
Anataka aonyeshe naye anazo, wengi huishia kujitapa kwa washikaji zao. Mara ooh jamaa yangu alikuwa na shida akaniuzia, inakera sana.
 
Ukiona umefanyiwa hvyo ujue huyo kakudharau,ameona kua wewe huna hadhi ya kumiliki hicho au hivyo vitu. Hiyo ni dharau.
Hapana mkuu mimi mshikaji wangu aliwahi uza gari lake alilonunua mil 25 kwa mil 30 baada ya jamaa kulipenda alipoliona wakati tunarudi toka arusha tukiwa tunakula korogwe na jamaa alishalitumia mwaka mzima.
 
Back
Top Bottom