Ona fahari!!!!

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,712
Ona fahari kuwa nae ulienae,mfanye ajione malkia,mfanye ajione mfalme,mfanye ajione mwenye thamani kuu,mfanye ajione hakuna kama yeye,mfanye ajisikie raha akukumbukapo,mfanye ajisikie fahari akutambulishapo kwa ndugu,jamaa na marafiki,mfanye ajisikie mshindi kwa kuwa nawe,mfanye ajisikie raha kutembea nawe barabarani,mshukuru unaposhiba chakula cha usiku,mpokee atokapo kwenye shughuli,umwamshapo au kumuaga fanya hivyo kwa busu la hisia kali,mnapopata dinna lishaneni,mshukuru akufanyiapo jambo lolote!Ogeshaneni,muite kwa majina mazuri,mfanye apakumbuke nyumbani,mfanyie suprise!Amani na itawale uhusiano wenu milele!
 
Tumesikia!!!!, Ushauri mzuri sana huu Mkuu!!!!
 
Kama wanandoa wangekuwa kama ulivyoeleza hapo basi kusingekuwa na divorces!! That's how real love is supposed to be....
 
sante sana dear
imetulia sana
lakini fanya kama inatoka moyoni
amasivyo itabaki usanii tuuu..

have a good weekend ..
asante
 
Ona fahari kuwa nae ulienae,mfanye ajione malkia,mfanye ajione mfalme,mfanye ajione mwenye thamani kuu,mfanye ajione hakuna kama yeye,mfanye ajisikie raha akukumbukapo,mfanye ajisikie fahari akutambulishapo kwa ndugu,jamaa na marafiki,mfanye ajisikie mshindi kwa kuwa nawe,mfanye ajisikie raha kutembea nawe barabarani,mshukuru unaposhiba chakula cha usiku,mpokee atokapo kwenye shughuli,umwamshapo au kumuaga fanya hivyo kwa busu la hisia kali,mnapopata dinna lishaneni,mshukuru akufanyiapo jambo lolote!Ogeshaneni,muite kwa majina mazuri,mfanye apakumbuke nyumbani,mfanyie suprise!Amani na itawale uhusiano wenu milele!

Naona kama ujumbe wote anapewa mwanamke na hasa hapo highlighted in red "mpokee atokapo kwenye shughuli" na sio vise versa.Je! inawezekana mwanaume ampokee mwanamke atokapo kwenye shughuli? nawasilisha.
 
Distazo inawezekana ukampokea mkeo akitoka kazini pia,sio mbaya!
 
Naomba kusisitiza kwamba mazuri ya mawazo yako yanatakiwa kufanywa na wote kwa kiwango takribani sawa (hata kama si kutoka rohoni). Pia wale baadhi yetu wanaodhani ukifanyiwa mema mengi basi umemteka mwenzako wajiangalie wasije kuanguka, maana inasemekana watu wengi wanaotenda mema kwa wenzao ni hao hao wanaopenda sana kufanyiwa mambo hayo.
Jamaa yangu mmoja alikuwa active kweli kumfanya Mamaaa ajihisi yuko peponi matokeo yake kalewa na kumdharau mshikaji. Jamaa kavumiliaaaa... mwisho kachoka.
Siku hizi anamwangalia tu. Mdada analalamika weee! Mshikaji anamtazama tu. Nahisi nerves za mapenzi zimeziba kwa sababu ya hasira. Nipende nikupende zaidi Honey! Siyo nibore nikubembeleze.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom