Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 440
- 116
Inawezekana pesa ambayo tumekopa na misaada tunayopewa imekuwa inarudi ulaya kwenye akaunti za hawa mashetani.Anasema pesa zote zioizopo nje ni sawa na misaada yote Tz ilizopata kuanzia mwaka 1970 na ni sawa na 80% ya deni lote la Taifa.