On Star TV - Zitto katika mjadala kuhusu fedha za Uswisi

Masterproud

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
440
115
Mjadala mzito unaendelea Star Tv unaohusu sakata la Wizi wa fedha zilizohifadhiwa katika mabenki ya Uswizi. Naibu katibu Mkuu chadema na mleta hoja mkuu juu ya sakata hilo ndugu Zitto Kabwe ndani ya studio za Star Tv asubuhi hii. Karibuni wadau tuone mwenendo wa sakata hili. Huenda leo akafunguka zaidi.


Live LINK: Star Tv - Live
 
Jakaya Promotion Entatainment studio, ikiisha hii kuna kitu kipyaaaaaaa kaa mkao wa kula usikose haijawahi kutokea!
 
Naona Zitto anajitahidi kueleza kuwa taarifa wanazo ila kwa sasa hawatazitoa taarifa ama majina hayo kwa mashinikizo. Anasema Chademailishawahi toavmajina 11 ya mafisani papa lakini hakuna hatua yyt iliyochukuliwa. Anasema uchunguzi wa kamati ya mwanasheria mkuu umeanza na taarifa itatolewa ikiwa comprehensive.
 
Naona Zitto anajitahidi kueleza kuwa taarifa wanazo ila kwa sasa hawatazitoa taarifa ama majina hayo kwa mashinikizo. Anasema Chadema ilishawahi toa majina 11 ya mafisani papa lakini hakuna hatua yyt iliyochukuliwa. Anasema uchunguzi wa kamati ya mwanasheria mkuu umeanza na taarifa itatolewa ikiwa comprehensive.
 
Anasema pesa zote zioizopo nje ni sawa na misaada yote Tz ilizopata kuanzia mwaka 1970 na ni sawa na 80% ya deni lote la Taifa.
 
Dogo ni mzalendo wa kweli, anayoyafanya si kwa faida yake bali ni kwa faida ya Watanzania walogubikwa na ujinga, maradhi na umaskini. Tupe updates walioko kwenye luninga.
 
Anasema pesa zote zioizopo nje ni sawa na misaada yote Tz ilizopata kuanzia mwaka 1970 na ni sawa na 80% ya deni lote la Taifa.
Inawezekana pesa ambayo tumekopa na misaada tunayopewa imekuwa inarudi ulaya kwenye akaunti za hawa mashetani.
 
Hawa jamaa wanaofisadi pesa nyingi kiasi hicho sijui wanataka kununua niniiii? sijui wanataka kukamiliki kabisa haka kanchi? Wamesahau kabisa kama kuna kufa.
 
Nikiangalia naona kuna malengo ya kisiasa nyuma ya hili suala !
Hakuna malengo ya dhati ya kuisaidia Tanzania kama nchi !
 
hizo pesa zikirejeshwa zitatumika kwa lipi? kwani tumeona pesa za EPA zilirejeshwa na kupotea kimya kimya tena muhahahahahaahaha mkurugenzi wa benki iliyoandaliwa kuzipokea alikiri kuwa hazikufika kwenye benk yake Kikwete ni Msanii atakuwa kazitia ndani sasa kamtuma zitto azipigie kelelepesa za usiwsi na zikirejeshwa zitakuwa mali za riz1 na wastaafu wa serikali ya jk Zitto janja ya nyani kwisha jua sisi... nilisikia hata india ulienda kuzuga na uliuwa huumwi kitu magamba walikutuma na wewe ukatibiwe india ili kuzima kelele za wapinzani
 
Last edited by a moderator:
Kumbe mzee malecela nae amefanikisha hii hoja ya zito kwa kumnunulia kitabu. Slowly zito ameanza kuwataja majina
 
Laiti tungekuwa wasikivu na kuacha kusema huyu katoka chama kipi na tukaungana kama watu tuliopata msiba na kuacha kupayuka. Zito Kabwe amebeba suala la kuponya Taifa la Tanzania! ikiwezekana tumsaidie.
 
Zitto ni jembe wajameni najivunia mbunge wangu wa Kigoma japo sipendi kwa yy kuwa rais ningependa awe Pm au W/fedha lkn kwa vile hatagombea ubunge basi awe W/fedha baada ya kuteuliwa na raisi mteule.
 
Nyie mnaoshabikia CCM, CCM hadi waibe shilingi ngapi ndiyo muache kuwashabikia, waibe pembe ngapi za ndovu ndiyo mseme CCM basi, waibe Twiga wangapi ndiyo mseme CCM imetuchosha, wanafunzi wangapi wamalize bila kujua kusoma ndiyo mseme CCM imetuchosha. WaTZ tumelogwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!, aaaaaaaaaaahhh
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom