dr luv Member Joined Dec 19, 2011 Posts 23 Reaction score 12 Nov 12, 2012 #1 Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu? Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni. Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una majibu ya kipuuzi. Zitatoje povu wakati hatujaweka maji?
Mwanafunzi alimuuliza mwl; Hivi ukichanganya Omo na Foma zitatoa povu? Mwl akajibu kwa hasira 'swali gani la kipuuzi hilo, zitatoa kwasababu zote ni sabuni. Mwanafunzi akasema: Wewe ndiyo una majibu ya kipuuzi. Zitatoje povu wakati hatujaweka maji?
piper JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 3,253 Reaction score 612 Nov 12, 2012 #2 Hi kaliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!! ila kama mi mwalimu lazima nimcharaze kw kuniumbua
C Complex number JF-Expert Member Joined Apr 28, 2012 Posts 217 Reaction score 56 Nov 12, 2012 #3 Ha ha ha ha! Dogo nampa pH D ya heshima kama aliyopewa mzee wa kaya.
dr luv Member Joined Dec 19, 2011 Posts 23 Reaction score 12 Nov 12, 2012 Thread starter #4 piper said: Hi kaliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!! ila kama mi mwalimu lazima nimcharaze kw kuniumbua Click to expand... kosa c la mwalimu kajibu bila kufikilia
piper said: Hi kaliiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!! ila kama mi mwalimu lazima nimcharaze kw kuniumbua Click to expand... kosa c la mwalimu kajibu bila kufikilia
dr luv Member Joined Dec 19, 2011 Posts 23 Reaction score 12 Nov 12, 2012 Thread starter #5 Complex number said: Ha ha ha ha! Dogo nampa pH D ya heshima kama aliyopewa mzee wa kaya. Click to expand... teh teh teh teh
Complex number said: Ha ha ha ha! Dogo nampa pH D ya heshima kama aliyopewa mzee wa kaya. Click to expand... teh teh teh teh
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 12, 2012 #6 Complex number said: Ha ha ha ha! Dogo nampa pH D ya heshima kama aliyopewa mzee wa kaya. Click to expand... teh teh teh teh teh,mi mwenyewe naitafuta hiyo phd
Complex number said: Ha ha ha ha! Dogo nampa pH D ya heshima kama aliyopewa mzee wa kaya. Click to expand... teh teh teh teh teh,mi mwenyewe naitafuta hiyo phd
toghocho JF-Expert Member Joined Mar 16, 2011 Posts 1,172 Reaction score 198 Nov 14, 2012 #7 duh, kuna mastudentiiii, wamedata
S Sunga Member Joined Mar 22, 2012 Posts 89 Reaction score 22 Nov 14, 2012 #8 Hahaaa usikute hili limwalimu lilisoma memkwa kwa mtazamo wangu ninavyo ona!
B BRYTHONY Member Joined Jan 13, 2012 Posts 20 Reaction score 4 Nov 14, 2012 #9 daaaa that dogo ni big jiniazzz daaa bonge la akili
peoples power JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 475 Reaction score 100 Nov 17, 2012 #10 dr luv said: kosa c la mwalimu kajibu bila kufikilia Click to expand... kama mtihani tayali mwalimu kafeli iwe alifikili au hakufikili.
dr luv said: kosa c la mwalimu kajibu bila kufikilia Click to expand... kama mtihani tayali mwalimu kafeli iwe alifikili au hakufikili.
Kitoabu JF-Expert Member Joined Jul 7, 2011 Posts 11,080 Reaction score 12,319 Nov 17, 2012 #11 Ninge mwambia aka muulize babaake nyumbani
M mkonomtupu JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 441 Reaction score 118 Nov 17, 2012 #12 Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious
Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious
M Meruone Member Joined Jul 29, 2012 Posts 25 Reaction score 7 Nov 18, 2012 #13 mkonomtupu said: Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious Click to expand... Nakubaliana na ww mkonomtupu haulambwi!! Huyo mwl ni ccm huwa hawajitambui. Majibu yao mepesi kwa maswali ya msingi.
mkonomtupu said: Huyu mwalimu ni kilaza anayetokea chama tawala bila shaka. Majibu mepesi kwa maswali ya msingi. The kid is extra-genious Click to expand... Nakubaliana na ww mkonomtupu haulambwi!! Huyo mwl ni ccm huwa hawajitambui. Majibu yao mepesi kwa maswali ya msingi.