mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,464
Wazee wa timu mmeanza mambo yenu ya kubomoa badala ya kujengaOmmy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika
Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,
Rejea hapa [emoji116]
Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.
Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
kwan huyo mzee ni mungu?
Huyo mkuu katoa ushauri mzuriWazee wa timu mmeanza mambo yenu ya kubomoa badala ya kujenga
Usidanganye watu. Mimi nilimchukia mzee wangu na katangulia tayariOmmy muombe msamaha baba yako mapema , mtoto huwezi weka kinyongo na mzazi wako na mambo yako yakanyooka
Baba yako hivi karibuni alishawahi kutoka kwenye vyombo vya Habari akitamka maneno mazito kuwa hata akifa leo usisogelee kaburi lake wala kumzika
Maneno yale yalikuwa ni mazito sana na ulihitajika kuyafanyia uamuzi wa busara kumaliza tofauti na baba yako, jiulize Kanumba yupo wapi sasa, maana hata yeye hadi anakufa aliluwa na chuki na baba yake,
Rejea hapa [emoji116]
Babamzazi wa Mwanamuziki wa Bongo fleva OmaryFaraji Nyembo‘OmmyDimpoz’ anayejulikanakama Mzee FarajiNyembo ametoa dukudukulake la moyoni nakusema hata akifa leo mwanayehuyoasimzike.
Diamond na wewe ukiona wenzako wananyolewa tia maji hakuna atakayemchukia mzazi wake na akabaki salama, mda ni mwalimu mzuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kuhukumu watu mzee, wewe unajua kanumba aliko?
Unajua kwa nini hawako poa na wazazi wao? Kama wazazi wanajivika u-mungu mtu kisa tu ni mzazi ndo akunyanyase. Na sio kila mwenye tatizo hapatani na mzazi wake!
NENO WALAHI
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahahaha
Na mzee nyembo atakuwa anafaidi sana coz ID yake inajielezaHahahaha
Culture ya watu ambao tuna waiga kwenye kila kitu na wana maendeleo makubwa!Usidanganye watu. Mimi nilimchukia mzee wangu na katangulia tayari
Kuumwa au kufa ni kitu cha kawaida kwa vitu vilivyo hai
Mtumeee we!