OMG Airtel wamepandisha gharama za bundle

Leo nimekuta bundle za OMG kuna mabadilika. OMG siku 50MB=250, 300MB=500 na 1.2GB=1000

nilijua simu yangu mbovu jmani! kwanza kifurushi cha 50MB hakikuwepo,cha 300MB kilikua sh 600 na cha 1.2GB kilikua sh800,wamepandisha ghafla tu! Hadi jana jioni hakukuwa na mabadiliko
 
Hawa airtel uzuri usiku unapewa mb za bure kama mia 4 hivi ila voda tigo uharo mtupu..
 
Nunueni vocha za yatosha wkt wa kupiga unaanza na *149*vocha namba#
Kwa voucher ya elfu moja unapata 300mb, dk30 kwenda mitandao yote na sms
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…