clack93 Member Joined Aug 29, 2016 Posts 54 Reaction score 41 Mar 5, 2019 #1 samahani wadau muda mrefu sana nautafuta wimbo unaitwa CHANDE waliimba band inaitwa TAM TAM au DOUBLE M kama sikosei wakina mwinjuma muumin,Badi bakule, n.k natanguliza shukrani
samahani wadau muda mrefu sana nautafuta wimbo unaitwa CHANDE waliimba band inaitwa TAM TAM au DOUBLE M kama sikosei wakina mwinjuma muumin,Badi bakule, n.k natanguliza shukrani