Ombi: MwanaJF aliyepo Cape Town, amsaidie kijana wangu anakuja masomoni

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,809
11,454
Habari wakuu.

Nahitaji msaada wa mtu anayeishi Cape Town, nahitaji amsaidie jambo kijana wangu anayetarajia kuja huko kimasomo kwa muda wa mwezi mmoja.

Shukrani zangu!
 
Nashukuru nimepata msaada wa mdau humu, amefanya mpango wa kumuunganisha na host family. Ahsanteni wote!
 
Yeah nami sikutegemea kama ningepata msaada wa haraka. Wengi naowafahamu wapo Jo'burg, na mtu unamwambia anakutafutia gesti badala ya chumba au host family kama hivi.
wengi wanaishi maisha magumu sana huko hata sehemu ya kulala shida ndio maana walishindwa kukusaidia zaidi kukutafutia guest
 
kama ni kijana wa kike nitakusaidia mkuu...Malazi,usafiri na chakula itakuwa juu yangu.asante
 
Back
Top Bottom