Zabron Hamis JF-Expert Member Dec 19, 2016 6,844 10,899 May 19, 2017 #3 Una kadi ya chama, na je ina muda gani. Umewahi kukemea upinzani hadharani pale walipoenda kinyume na serikali??
Una kadi ya chama, na je ina muda gani. Umewahi kukemea upinzani hadharani pale walipoenda kinyume na serikali??
swissme JF-Expert Member Aug 15, 2013 13,663 19,891 May 19, 2017 #4 Kama wewe ukufoji cheti tulia tu magu anachukuwa watu kama yeye wakina bashite Swissme
MKWEPA KODI JF-Expert Member Nov 28, 2015 28,701 71,035 May 19, 2017 #5 Kamzabe kibao hadharani mzee warioba, wakashifu watu, vamia clouds na mambo mengine kama hayo utateuliwa haraka sana
Kamzabe kibao hadharani mzee warioba, wakashifu watu, vamia clouds na mambo mengine kama hayo utateuliwa haraka sana
utaifakwanza JF-Expert Member Feb 1, 2013 14,193 2,812 May 19, 2017 #6 weka vyeti hapa isijekuwa una vyeti feki