Ombi la wananchi kwa NACTE kuhusu Kibosho nursing college

Jazia jazia nyama ili mamlaka husika ipate ulais wa kulishughulikia kiurahisi!
 
Fungua website yao utapata contacts kwaajili ya maoni .ukileta huku ni uzushi na umbea tu huo
 
Acha porojo, weka muziki!

Alafu tutaamini vipi HOJA yako mkuu?
 
Habari,
Mimi mkazi wa kibosho moshi naomba baraza la ufundi la taifa imchungunze mkuu wa chuo hicho kwa kutoa elimu mbovu chuoni hapo.sitak niongee naomba wizara iingilie kati
Kwanza jifunze umoja na uwingi kisha edit uzi wako usomeke "Ombi langu kwa NACTE".

Njia za kufikisha maoni yako ziko nyingi sana ambazo ziko effective kuliko hii uliyoitumia.

Kwa haraka haraka ninaweza kuwa na perception ya kuwa umechukuliwa demu au mkuu wa chuo kagonga mkeo ndio maana unataka kumchafua.

Niliposoma kichwa cha thread nilijua ni Wananchi wengi kama si wote wa Kibosho ndio wanatoa hilo ombi kumbe ni wewe tu pekeyako.

NACTE wanasikiliza wazazi au walezi na ukiwa mmoja malalamiko yako hayatakuwai na mashiko. Kajipange upya.

Au kama una nia ya kumharibia JITEKE KAMA BEN SAANANE halafu sisi tutakusaidia kumsingizia kuwa KAKUTEKA
 
hakuna chuo kizuri na nursing kama kile na yule sister mkuu wa chuo ni mtu makini sana wana miundominu kuzi vyuo vikuu vingine hapa bongo i hv bn there
 
Oky but for now hali ni mbaya sana kawa ovyo sana
 
Kwanza jifunze umoja na uwingi kisha edit uzi wako usomeke "Ombi langu kwa NACTE".

Njia za kufikisha maoni yako ziko nyingi sana ambazo ziko effective kuliko hii uliyoitumia.

Kwa haraka haraka ninaweza kuwa na perception ya kuwa umechukuliwa demu au mkuu wa chuo kagonga mkeo ndio maana unataka kumchafua.

Niliposoma kichwa cha thread nilijua ni Wananchi wengi kama si wote wa Kibosho ndio wanatoa hilo ombi kumbe ni wewe tu pekeyako.

NACTE wanasikiliza wazazi au walezi na ukiwa mmoja malalamiko yako hayatakuwai na mashiko. Kajipange upya.

Au kama una nia ya kumharibia JITEKE KAMA BEN SAANANE halafu sisi tutakusaidia kumsingizia kuwa KAKUTEKA
Haaaaaaaaaaaaaa aisee umemuweza huyu jamaa sijui kama atarudi tena hapa
 
Kwanza jifunze umoja na uwingi kisha edit uzi wako usomeke "Ombi langu kwa NACTE".

Njia za kufikisha maoni yako ziko nyingi sana ambazo ziko effective kuliko hii uliyoitumia.

Kwa haraka haraka ninaweza kuwa na perception ya kuwa umechukuliwa demu au mkuu wa chuo kagonga mkeo ndio maana unataka kumchafua.

Niliposoma kichwa cha thread nilijua ni Wananchi wengi kama si wote wa Kibosho ndio wanatoa hilo ombi kumbe ni wewe tu pekeyako.

NACTE wanasikiliza wazazi au walezi na ukiwa mmoja malalamiko yako hayatakuwai na mashiko. Kajipange upya.

Au kama una nia ya kumharibia JITEKE KAMA BEN SAANANE halafu sisi tutakusaidia kumsingizia kuwa KAKUTEKA
Unajua ww ni popo na hujiewelewi NB.nmesema wafanye uchunguzi nmetoa tuhuma??ningetoa tuhuma ungeniona mchochezi,mm tyr nina degree tang sina shida ndugu ila ile hali sio nzuri,unadhan ukikesha jamii forum ndo unajua matatizo ya watu??usiongee hujui kitu wa popo chunguza ndo uongee popo wewe una akili kama za wana lumumba pimbi ww
 
Mimi mkazi wa Kibosho Moshi naomba baraza la ufundi la taifa imchungunze mkuu wa chuo hicho kwa kutoa elimu mbovu chuoni hapo.

Sitaki niongee naomba wizara iingilie kati.

Kuna uchunguzi unaofanyika kama hakuna tuhuma ?

Unaposema achunguzwe kwa kutoa Elimu Mbovu chuoni. Hapa ULIKUWA UNAMSIFIA AU UNAMTUHUMU KWA KUKOSA SIFA NA KULETA ELIMU MBOVU CHUONI?

Kingine Mimi sio Pimbi, Kama Pimbi ni Sifa Basi MAMA YAKO NA MAREHEMU BABA YAKO MZAZI WOTE PIA NI MAPIMBI.
 
Unajua ww ni popo na hujiewelewi NB.nmesema wafanye uchunguzi nmetoa tuhuma??ningetoa tuhuma ungeniona mchochezi,mm tyr nina degree tang sina shida ndugu ila ile hali sio nzuri,unadhan ukikesha jamii forum ndo unajua matatizo ya watu??usiongee hujui kitu wa popo chunguza ndo uongee popo wewe una akili kama za wana lumumba pimbi ww

hiyo degree yako haikusaidii
 
Tatz lako ww ni ccm akili mpaka urudishiwe bado iko kwa mwenyekiti
Naunga mkono kampeni ya serikali ya kuvifutia vyuo vya elimu ya juu visivyo na sifa kwa kutoa elimu ya hovyo hovyo, ushahidi upo wa kutosha kuwa wengi wameathirika na hizi elimu za kijingajinga
 
Back
Top Bottom