Sangarara
JF-Expert Member
- Sep 29, 2011
- 13,104
- 5,665
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka kwanza katika chuo kimoja cha umma hapa nchini-Tanzania.
Nimesoma kwenye mitandao ya kijamii kuwa kuna watu wamepata mchango kutoka kwa wahusika kwa ajili ya mambo ya kitaaluma(shule kusaidiwa) na pia wengine wamepewa mamilioni kwa ajili ya kusaidia kwenye mambo ya kijamii kama harusi na misiba.
Hivyo basi,nami kama mtanzania maskini imeona niache aibu,nijitokeze hadharani kunisaidia.
Mimi sihitaji pesa nyingi sana.Nikipata 5m,nitamaliza masomo yangu vema kabisa.
Kwa yeyote mwenye chenji naomba ani-pm ili tuwasiliane