Johary Manase
Member
- May 13, 2023
- 5
- 5
Habari zenu,
Naitwa Mary Emanuel Sumari ninaishi Mwanza na nmemaliza chuo kikuu cha SAUT Mwanza 2021 fani ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma.
Nina uhitaji wa kazi yoyote halali. Kwa yoyote atakayenisaidia nitashukuru sana.
Barua pepe yangu ni marysumari2@gmail.com