Mkyamise
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 526
- 677
Habari za leo ndg wanaJF? Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kikuu kimoja kilichopo kanda ya ziwa.
Ninasoma mwaka wa tatu na nipo semester ya mwisho. Ninafahamu sheria na taratibu za hapa ndio maana ninajaribu kujiweka wazi.
Ninajisomesha mwenyewe toka mwaka wa kwanza hadi hapa nilipofika. Tatizo linalonisibu mpaka kunisukuma kuja hapa JF ni kukosa ada ya kulipia semester hii ya mwisho.
Kwa kweli nimejitahidi kutafuta kwa ndg, jamaa na marafiki hali imekuwa ngumu. Nimekuwa nikijilipia kutoka kwenye kazi niliyokuwa nafanya kable ya kuja chuoni na michango kutoka kwa ndugu na jamaa.
Ninadaiwa jumla shilingi 880,000/= kama ada ya semester ya pili (630,000/=), Hostel (150,000/=) na fine kwa kuchelewesha malipo haya (100,000/=) Fine hii imekuja kwa sababu mwisho wa kulipa michango hii ilikuwa ni tarehe 30/04/2018.
Wakati wote nilikuwa nahangaika huku na kule bila mafanikio mpaka fine ikanikuta na sina option nyingine mpaka sasa. Mpaka kuamua kuja hapa naomba mjue kweli hali imekuwa mbaya.
Mpaka sasa nina uhakika wa kupata shilingi laki mbili kutoka kwa jamaa yangu mmoja ambaye ameniahidi.
Kwa hiyo kutakuwa na pungufu ya 680,000/= Ndg zangu, bila kulipa kiasi hiki cha fedha sitaruhusiwa kufanya mtihani wa mwisho wa semester hii (UE).
Mitihani hii tunatarajia itaanza mwezi wa saba. Ninakuja kwenu ndg zangu nikiomba mnisaidie Watanzania wenzangu. Kadiri utakavyoguswa ninakuomba unisaidie kwa chochote.
Wengine wanaweza kushauri niuze simu lkn ninatumia simu ndogo na hapa nimetuma habari hii kwa kuomba modem na computer kwa wenzangu.
Ninaomba msaada wenu Watanzania. Ninaahidi kuleta risiti za malipo haya hapa pindi nitakapofanikiwa kupata kiasi hiki cha fedha mara moja na kukiweka kwenye akaunti ya chuo.
Kama utaona inafaa naomba unitumie kwenye simu yangu 0767151519.
Asanteni.