Ombi la kufundisha

Ombi la kufundisha

MWACHIBILA

Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
48
Reaction score
8
Habari!

Natafuta nafasi ya kufundisha katika shule za sekondari kuanzia muhula wa pili wa masomo yaani mwezi wa saba, nategemea kupata shahada ya kwanza ya ualimu mwezi huu.

Masomo ya kufundishia ni KISWAHILI na HISTORIA.
 
Unatarajia kupata shahada au kumaliza mitihani ya semester yako ya sita? Hebu acha kudanganya watu. Shadada mpaka upate gamba lako ukishagraduate.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom