mtoto ya simba
Member
- Jul 6, 2025
- 14
- 19
Seran katangaza kazi mkuu umeiona?
Mkuuu kazi hizo duuh ni ngumu ungepambana kwenye saidia fundi au mcheki huyu dada SeranSalaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile:
Kuuza dukani
Uwinga
Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo mbalimbali
Kazi yoyote ya mikono iliyo halali
Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma bila kuchagua kazi.
Hitimisho:
Naomba tusaidiane kwa sababu hali ya maisha ni ngumu sana mtaani, hasa sisi vijana wasio na kazi au kibarua chochote, tunapitia changamoto kubwa na wakati mwingine kudharaulika. Msaada wowote au taarifa ya kazi nitashukuru sana.
Siyo kukata tamaa vijana tusio na kazi au kibarua chochote tunadharaulika sana mtaani hiko kitu kinaniuma sana
Rayns umeona member wapya wanavoshindwa kuitumia jf vizuriSiyo kukata tamaa vijana tusio na kazi au kibarua chochote tunadharaulika sana mtaani hiko kitu kinaniuma sana
Mtafute saizi sasa maana alipost kazi huenda ukapataSijaiona nitaitafuta niione
Kaka toa kazi acha uroho hadi kwenye kazi 😁Mtafute saizi sasa maana alipost kazi huenda ukapata
Kaka toa kazi acha uroho hadi kwenye kazi 😁
Mbagala kuu kuna wanga sana huko vijana wanaishia kuwa bodaboda. Uwinga pia sio kaz ya kuomba, ni kaz ya kuamuaSalaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile:
Kuuza dukani
Uwinga
Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo mbalimbali
Kazi yoyote ya mikono iliyo halali
Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma bila kuchagua kazi.
Hitimisho:
Naomba tusaidiane kwa sababu hali ya maisha ni ngumu sana mtaani, hasa sisi vijana wasio na kazi au kibarua chochote, tunapitia changamoto kubwa na wakati mwingine kudharaulika. Msaada wowote au taarifa ya kazi nitashukuru sana.
😁😁😁😁 Alaf askie, "Kazi yenyewe ndio hii, Shikilia miguu kwa nguvu anarusha mateke kichwani" 😁Hahahha aje hapa tushirikiane kumfanyia operesheni huyu ng'ombe
Kama dakika 20 nikukute kituoni kwa damu damu...Kuna rumio nyeusi ukiiona njoo..Salaam za heshima,
Natumaini ujumbe huu unawafikia mkiwa salama.
Mimi ni kijana wa kiume, mwenye umri wa miaka 26, ninaishi Mbagara Kuu. Elimu yangu ni kidato cha nne.
Naomba kazi au kibarua chochote halali kinachopatikana, kama vile:
Kuuza dukani
Uwinga
Kufanya usafi kwenye ofisi au maeneo mbalimbali
Kazi yoyote ya mikono iliyo halali
Niko tayari kufanya kazi kwa bidii, uaminifu na kujituma bila kuchagua kazi.
Hitimisho:
Naomba tusaidiane kwa sababu hali ya maisha ni ngumu sana mtaani, hasa sisi vijana wasio na kazi au kibarua chochote, tunapitia changamoto kubwa na wakati mwingine kudharaulika. Msaada wowote au taarifa ya kazi nitashukuru sana.
Fafanua nduguu..Mbagala kuu kuna wanga sana huko vijana wanaishia kuwa bodaboda. Uwinga pia sio kaz ya kuomba, ni kaz ya kuamua
Siiiiii mchezoooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😁😁😁😁 Alaf askie, "Kazi yenyewe ndio hii, Shikilia miguu kwa nguvu anarusha mateke kichwani" 😁
Xiao qui shui
Ertugrul Bey