Ombi kwa wanao tafuta Mke/Mume

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,036
20,337
Wakuu habari za kushinda, poleni na majukumu.
Leo nataka niwakumbushe wanao tafuta Mke au Mume humu ndani.
Wakisha pata basi kwenye nyuzi zao waseme kama washapata.
Siyo mtu amepata anae mtafta hata hatufahamu wadau tunaendelea kumtafuta ndo hivyo kumbe anamtu wake.
Kwa kuhitimisha, kama ukimpata mke au mume tujuze kua umempata tuendelee na mishemishe.
Asante kwa hilo tuepuke mikusanyiko.
 
Nazani watafuta wachumba watalifanyia kazi hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom