OMBI:kwa unaemiliki PC au desktop computer

OMBI:kwa unaemiliki PC au desktop computer

pHG

Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
40
Reaction score
18
Habarini wakuu wote wa JF.nawasilisha ombi langu lakuomba kusaidwa kupata PC au desktop computer..kwa jitihada zangu binafsi nimejarbu kutafuta pesa ili niweze kununua imekuwangumu sana kwa sasa na naona itanichukua mda mrefu sana ilikuweza kufanikisha nanina uhitaji nayo mkubwa sana kwa sasa ili kuweza kuifanyia kazi ambayo itakuwa na matokeo chanya sana hapo mbeleni.hivyo kwa yoyote ambae ana computer yake huenda labda haitumii au hana mahitaji nayo sana kwa sasa ningeomba anisaidie.ili niweze kuifanyia kazi niikusudiayo,wanasema mficha maradhi kifo humuumbua ndio maana nimeamua kuwa wazi kwenu wakuu ili niweze kupata msaada wenu

Ni imani yangu kuwa JF inawatu siotu ni smart bali pia ni wakarim.
sitaki kuwaaminisha wana JF kuwa ntaifanyia kazi kubwa ila niwaahidi ntaifanya kazi vyema.

contact : nita m PM yule atakaekuwa tayar kunisaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio wote tuliopo JF tumesha yawin haya maisha wengine ndio bado kwanza tunayapambania..kwa wewe ambae umeshapata chochote kitu huwenda ulitokea hukuhuku nilipo mwenzio kwa sasa na ulitamani sana ungelisaidiwa wakait unashida kama nilivyo mimi huenda ulipata wa kukushika mkono au ulikosa pia ila nifaraja na motisha sana unapopata wakukushika mkono pale unapokuwa na uhitaji wakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu jitahidi useme unataka kuifanyia nn hyo pc unaweza saidiwa na vitu vingine pia.

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
 
Upo wapi? Unataka kufanyia nini? Kwa muda gani? Hebu jaribu kuwa muwazi upate saidiwa
 
Hebu jitahidi useme unataka kuifanyia nn hyo pc unaweza saidiwa na vitu vingine pia.

Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
kunakazi nataka niifanyie. nazani sio vyema sana kuanza kutiririka hapa nikazigan haswa .huenda zikaaza kuzuka mada ambazo sio kusudio..

nikipata PC tu yatosha ayo mengine nitapambana nayo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Location na Contact number ni kwa PM kwa ambae atakuwa tayari kuni support

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa muwazi kwa kuweka location uliopo labda utapata watu wa karibu na hapo ukasaidiwa,mawasiliano watakutafuta pm ukiweka location,mimi nipo huku ukwavira nina pc 6 sasa utapataje?

Jaribu kuwa muwazi usaidiwe aiseee just sema location uliyopo tu!

nipo Dodoma

lakin mzigo siunaweza ukafatwa au kutumwa toka popote ulipo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kunakazi nataka niifanyie. nazani sio vyema sana kuanza kutiririka hapa nikazigan haswa .huenda zikaaza kuzuka mada ambazo sio kusudio..

nikipata PC tu yatosha ayo mengine nitapambana nayo mwenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa wewe unataka kusaidiwa au hautaki maana unachokiandika ndicho kinachoweza kuleta ushawishi umese,a mficha uchi hazai halafu bado unashondwa kusema shida yako sema tjue ni kazi gani maana kila computer ina ip address zake usije itumia sivyo
 
Back
Top Bottom