J JokaKuu Platinum Member Joined Jul 31, 2006 Posts 36,967 Reaction score 68,835 Nov 25, 2024 #21 ..viongozi wa dini waingie barabarani kushinikiza mabadiliko ya katiba.
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 57,646 Reaction score 91,512 Nov 25, 2024 #22 mmaroroi said: Padri hawezi kugombea Uongozi wa kisiasa, yeye ni Kiongozi wa Imani. CCM itatuletea Mgombea Urais Mwanaume ambaye ana hofu ya Mungu 2025. Click to expand... Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?!
mmaroroi said: Padri hawezi kugombea Uongozi wa kisiasa, yeye ni Kiongozi wa Imani. CCM itatuletea Mgombea Urais Mwanaume ambaye ana hofu ya Mungu 2025. Click to expand... Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?!
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,286 Reaction score 8,415 Nov 25, 2024 Thread starter #23 JokaKuu said: ..viongozi wa dini waingie barabarani kushinikiza mabadiliko ya katiba. Click to expand... Watamalizana na waumini humo humo makanisani na misikitini. Kitaeleweka TU.
JokaKuu said: ..viongozi wa dini waingie barabarani kushinikiza mabadiliko ya katiba. Click to expand... Watamalizana na waumini humo humo makanisani na misikitini. Kitaeleweka TU.
Mnywani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 982 Reaction score 1,131 Nov 25, 2024 #24 Haiwezekani
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,286 Reaction score 8,415 Nov 25, 2024 Thread starter #25 Mnywani said: Haiwezekani Click to expand... Why!
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,290 Nov 25, 2024 #26 Yoda said: Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?! Click to expand... Huyo anastaafu rasmi 2025. CCM haiwezi kufanya kosa la kuleta mgombea asiyekubalika. Pia fomu za ugombea urais CCM zitakuwa nyingi kama katiba inavyoruhusu wote wenye sifa kuomba na kuingia kwenye mchujo kumpata mmoja mwenye sifa zaidi.
Yoda said: Mbona kina ChoiceVariable na chiembe wanasema ni huyu huyu?! Click to expand... Huyo anastaafu rasmi 2025. CCM haiwezi kufanya kosa la kuleta mgombea asiyekubalika. Pia fomu za ugombea urais CCM zitakuwa nyingi kama katiba inavyoruhusu wote wenye sifa kuomba na kuingia kwenye mchujo kumpata mmoja mwenye sifa zaidi.
M mmaroroi JF-Expert Member Joined May 8, 2008 Posts 4,628 Reaction score 2,290 Nov 25, 2024 #27 Moisemusajiografii said: Nani alikudanganya hapo kijijini kwenu? Click to expand... Watanzania ndio wanataka Rais mpya 2025 asiye na tuhuma zozote zile.
Moisemusajiografii said: Nani alikudanganya hapo kijijini kwenu? Click to expand... Watanzania ndio wanataka Rais mpya 2025 asiye na tuhuma zozote zile.
Mnywani JF-Expert Member Joined Apr 2, 2020 Posts 982 Reaction score 1,131 Nov 25, 2024 #28 milele amina said: Why! Click to expand... Elewa hivyo