Kwani huyo alikuwa ndugu katika imaan?!
Mwenzako anaandika historia ya watu wa dini( ili apate swawabu) na pia anaandika ya vinasaba wake wa kariakoo na gerezani.
Kwani huyo alikuwa ndugu katika imaan?!
Mwenzako anaandika historia ya watu wa dini( ili apate swawabu) na pia anaandika ya vinasaba wake wa kariakoo na gerezani.
ulivyosema kuwa huyo jamaa huwa haandiki watu wa dini fulani ndio nami nakwambia namfahamu kuwa ulivyosema sivyo kwani namjua vizuri huyo jamaa kuliko wewe