Nibozali
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 572
- 1,055
Kupitia maelezo ya Mkuu Wa mkoa Wa Arusha aliyoyatoa Jana kuhusiana na rambirambi zilizotolewa na watu walioguswa na msiba huu mkubwa kwa taifa, watakubaliana na Mimi kuwa ingekuwa nchi za wenzetu kuna watu wangekuwa ndani mpaka sasa.
Nimuomba mh. Lema atakapopata Fursa ya kuzungumza na wanafamilia yake yaani wanaarusha kwa ujmla waeleze hiki kilichofanyika chini ya Mkuu Wa mkoa
Ni matumaini yangu kuwa ombi langu kwa mbunge Wa Arusha litafanyiwa kazi ingawa limetoka kwa mwanaccm
Nawasilisha