Ombi kwa Bernard Membe

Above all wote tunabakia kuwa binadamu... Yaangalie vizuri maneno yako... Usiongee tu kwa sababu ni anonymous
 
Membe mpana hasa Kwa upande wa zanzibar akubaliki, hasa Kwa tuhuma alipokuwa waziri wa mambo ya nje alikataa msaada uliokuwa na masharti uje Kwa ajili ya zanzibar tu. yeye akataka Tanzania kuona hivyo wahisani wakaghairi ila ilikuwa nchi za kiarabu. siri hiyo ilivuja baada ya maalim seif kutembelea na aliskitika sana
 
Magufuli anakubalika Zanzibar ??
 
Achukue fomu tu humo humo CCM sisi tutamuunga mkono huko huko.
Mzee baba unasahau Jiwe ashabadilisha kanuni huko CCM hakuna kuchagua tena kura za maoni kabla Rais aliyeingia madarakani kwa tiketi ya CCM hajamaliza muda wake?

Hakuna namna ndani ya CCM kura za maoni zikapigwa na Jiwe akashindwa
 
Mzee baba unasahau Jiwe ashabadilisha kanuni huko CCM hakuna kuchagua tena kura za maoni kabla Rais aliyeingia madarakani kwa tiketi ya CCM hajamaliza muda wake?

Hakuna namna ndani ya CCM kura za maoni zikapigwa na Jiwe akashindwa
Hata kama kweli alibadilisha, bado halmashauri kuu unaweza kubatilisha tena.
 
Membe. Hana mvuto wowote na ni unpopular
 
Mbona mmekurupuka sana siku hizi tatu?
Au ni utekelezaji wa maazimio ya kikao?
 
Ha ha ha ha imenichekesha hii eti anajua kingereza.
Kwani nani hajui?
 
Hapana si kweli kabisa.Fanya tena uchunguzi.Membe anajulikana sana.sio kidogo ni sana.hata hivyo kura za kusini +nyanda za juu kusini+Dar Tayari huyo ni rais.
 
Enzi za Lowassa zimeisha pale alipo kwenda ikulu kusaini kurudisha hela zote za serikali alizojilimbikizia. Na alipo fanya hivyo alifilisika hivyo hapendwi tena maana watu walipenda hela zake na wala siyo yeye mwenyewe.No comment kwa Membe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…