OMBI: Habarini wana Tech!

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
I'm sorry ,

Nina changamoto kidogo ya kiuchumi.
MImi ni web developer, ambaye nimepitia ups & down kadhaa katika maisha yangu.

NB:
Physically nina shida kidogo kwenye sikio la kushoto hivyo inahitaji umakini napozungumza na mtu kama hatuonani.

Lengo langu ni kuomba nafasi/kazi ikiwa inawezekana, labda naweza pata mchongo/project ya web application ambayo naweza kufanya mwenyewe mwanzo mwisho au kwa kushirikiana na wengine yenye maslahi hata kama ni madogo lakini nijikwamue maana nategemewa na hali yangu ndo inanipa ugumu wa kupata sehemu niweze kufanya kazi hiyo.

Nimekuwa nikijiendesha.mwenyewe kwa muda mrefu kidogo lakini project chache sana ambazo nilifanikiwa kufanya na nyingi ziliishia njiani kwakuwa watu hawakuwa waaminifu.


Natumia PHP/Laravel, Bootstrap na react, jQuery na JS yenyewe kwa wingi.

kuhusu java na python nimefanya project sio zaidi ya moja

Kuna project hapa ambazo hazikukamilika

github.com/ubongofaidas

Lakini pia kuna project nilifanya kwa matarijio makubwa lakini nahisi delay kwa upande wa serikali inahusiana na local government. Hii ni idea ya mtu ambayo ina usajili lakini mimi ni developer ambaye nasubiri labda ikifanikiwa nipate changu lakini inachukua muda mpaka sasa.

Naweka snapshot hapa ila ukitaka link nitahost na kukupa preview

Attachments​

  • Screenshot 2022-03-15 at 12-54-46 Hifadhi data ya mtaa Karibu nyumbani jeremiax.png
    File size 187.5 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-54-25 Hifadhi data ya mtaa Kurasa ya matukio.png
    File size 110.3 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-54-13 Hifadhi data ya mtaa Kurasa ya maombi.png
    File size 96.6 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-53-46 Hifadhi data ya mtaa Kurasa ya viongozi.png
    File size 85.3 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-53-33 Hifadhi data ya mtaa Kurasa ya wakazi.png
    File size 92.5 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-52-59 Hifadhi data ya mtaa Karibu nyumbani jeremiax.png
    File size 161.3 KB Views 1
  • Screenshot 2022-03-15 at 12-52-21 Hifadhi data ya mtaa Ingia kwenye akaunti yako.png
    File size 106.1 KB Views 1


Kila mtu anaweza pitia changamoto lakini si bora kufa kabla ya kutoa dukuduku lake.



Msaada wenu wadau,

incomplete ui



unaweza checki pia kazi za graphics hapa


 
Hongera kwa kujiwekeza na pole kwa masahibu hayo.

Pengine kupitia uzi huu unaweza pata msaada ngoja waje
 
Unafundisha?
Inategemea na unachotaka kufundishwa, ila kama ni ujuzi huo hapo juu ntakufundisha kwa malipo flani ila baada ya hapo utaangalia namna ya kuutumia ukipewa pesa, ila sitoi vyeti maana sina usajili wa taasisi ya elimu na sijui utaratibu wake.
 
Back
Top Bottom