Ombeni Sefue na mama Anne Kilango wapo kitengo gani sasa?

richaabra

JF-Expert Member
Jul 12, 2016
1,454
3,469
Wakuu, nimekuwa nikijiuliza hawa wakuu wanaopangiwa kazi nyingine, huwa bado wanaingiziwa mishahara au husimamishwa.

Je, wapo ofisi gani kwa sasa?
 
Back
Top Bottom