Omba usiachiwe kitoto kidogo. Wamama kumbe wanasumbuka hivi?

Niliwahi lazwa na Mwanangu., mtoto mzuri kabisa, Akiwa mdogooooo wa mwaka mmoja.

Akilia tu ni njaa, chakula chake ni laktojeni tu,Kunyaa , kumbadili , kumvalisha nguo, kuoga, Dogo akishiba analala, mara analiaa.

Ukitoka kufata chakula, anajua Baba hayupo. Analiaaa, ukirudi hata kabla hujamgusa, keshajua huyu ni Baba, Mpo naye anakuwekea mkono Usoni

Aiseeeee kuna Feeling fulani ya Rahaa nilikua naipata
Usisahau na adha zake
 
Ukini_quote vibaya pole.

Mnaanza tabia za shetani kumsifia mama. Baada ya dhambi Muumba wa mbingu na dunia alitoa majukumu mujarabu kwa wazazi wa awali, utalima kwa jasho, utazaa kwa uchungu.

Leo mnataka wamama wazae kwa Asali na wababa wavune kwa suite kitu ambacho ni NEVER, although nyimbo na mapambio zina hakisi ukisasa as mtoto kujisaidia ovyo.

Siwezi kusifia majukumu ya mama wakati ni wajibu wake asee na bahati mbaya hata mwanamme unakosea kusema HUTORUDIA kuachiwa mtoto, huo ni ujinga sababu malezi ni majukumu yako pia, mama ana hangaika na miezi tisa baada ya hapo (me) ni jukumu lako kutunza.

Nataka kuambatanisha maandikoFONT]
Basi nikioa nitakuwa tyr nina funzo!!
 
Babake mtoto Yuko bar na wanawake zake wewe unaosha nnya ya mwanawe.......
Tafuta pesa uheshimike mjini. Unadhani ungekua mtu na kazi yako na pesa zako huyo mdada angethubutu kukuachia kazi ya u hausgel?
Ungekua na funguo zako tatu ( ya gari lako, ya nyumba yako na ya ofisi yako) ungetegemea ungepewa huo u hausgel wa muda?
Tafuta kazi bwashee unaweza kufanywa delicious hivi hivi.
Wanaanzaga taratibu kwa kukupima na mavi ya mtoto, baadae anakupa skin tight umfulie, baadae chupi.... Niambie utakua umebakiza Nini????
Aisee kuna ukweli hapa
 
Niliwahi lazwa na Mwanangu., mtoto mzuri kabisa, Akiwa mdogooooo wa mwaka mmoja.

Akilia tu ni njaa, chakula chake ni laktojeni tu,Kunyaa , kumbadili , kumvalisha nguo, kuoga, Dogo akishiba analala, mara analiaa.

Ukitoka kufata chakula, anajua Baba hayupo. Analiaaa, ukirudi hata kabla hujamgusa, keshajua huyu ni Baba, Mpo naye anakuwekea mkono Usoni

Aiseeeee kuna Feeling fulani ya Rahaa nilikua naipata
Pamoja na hayo yote utakuta mtoto si wakwako shemeji yetu aliuza mechi.
 
Babake mtoto Yuko bar na wanawake zake wewe unaosha nnya ya mwanawe.......
Tafuta pesa uheshimike mjini. Unadhani ungekua mtu na kazi yako na pesa zako huyo mdada angethubutu kukuachia kazi ya u hausgel?
Ungekua na funguo zako tatu ( ya gari lako, ya nyumba yako na ya ofisi yako) ungetegemea ungepewa huo u hausgel wa muda?
Tafuta kazi bwashee unaweza kufanywa delicious hivi hivi.
Wanaanzaga taratibu kwa kukupima na mavi ya mtoto, baadae anakupa skin tight umfulie, baadae chupi.... Niambie utakua umebakiza Nini????
Watu wengine bhn. Jamaa kapanga. Na usikute siku hyo mpangaji mwenzake aliona jamaa yuko free siku ndio akamuachia mtoto. Tatizo mmekariri. Jamaa ukute ana mishe zake siku hiyo kawa off unamnanga mshikaji
 
Habari zenu

Kuna bidada alitaka kwenda Kariakoo akaniambia nibaki na mtoto wake,alisema angerudi jioni. Dogo kakua kidogo ila hajajua kuongea vizuri, anatembea fresh. Nilikubali bila kuyajua

Dogo nilimpa uji vizuri, badae nikatoka kwenda kununua vocha nikamuacha dogo akiwa amekaa kwenye sofa. Niliporudi nikamuona dogo akiwa kwenye varanda la mama mwenye nyumba. Kuchunguza vizuri dogo katapakaza mavi kwenye varanda.

Du! Ilbidi nizoe mavi kwa kinyaa. Nikamaliza nikadeki chapu kabla mwenye nyumba hajaja(ni mnoko sana angemumaindi mdada yule). Dogo nikaliosha adi makalioni kusafisha kinyesi.

Badae dogo nikampa uji tena, Kisha akalala, alipoamka nikacheki kakojolea sofa. Nikamaindi kitoto kikasepa nje, nikaona nikicheki kilipoelekea. Natoka nje tu mlangoni nakanyaga mavi dogo kadondosha nya nyingine. Du!! nilimaindi kichizi, nikasafisha kwa kinyongo sana

Sikuliosha dogo nikalikalisha nje mpaka mama ake aliporudi. Aiseee!! Sitorudiaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
Kwahiyo ulishindwa kumnunulia pampers ya jero??😅
 
Ukini_quote vibaya pole.

Mnaanza tabia za shetani kumsifia mama. Baada ya dhambi Muumba wa mbingu na dunia alitoa majukumu mujarabu kwa wazazi wa awali, utalima kwa jasho, utazaa kwa uchungu.

Leo mnataka wamama wazae kwa Asali na wababa wavune kwa suite kitu ambacho ni NEVER, although nyimbo na mapambio zina hakisi ukisasa as mtoto kujisaidia ovyo.

Siwezi kusifia majukumu ya mama wakati ni wajibu wake asee na bahati mbaya hata mwanamme unakosea kusema HUTORUDIA kuachiwa mtoto, huo ni ujinga sababu malezi ni majukumu yako pia, mama ana hangaika na miezi tisa baada ya hapo (me) ni jukumu lako kutunza.

👉🏾Nataka kuambatanisha maandiko<<
well said, 100%
 
Huyo mama ake hakwenda kariakoo alienda kwa baba mtoto kuchezea ukuni huku akijisemea huko kuna mdada fulani nimemuachia mtoto.
 
Back
Top Bottom