Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
...umuofia ba Ndugu...
...wanakeraaa sana !!!! Mtu Dume "mnazi" ana kazi na mshahara analipwa iweje kulazimisha kununuliwa bia na Dume ...niko na wife from no wapi ...Niletee bia ...tena kwa "command "...nikuletee bia wewe nani...ulinisaidia kukata mapori...kuzama kwenye mashimo yenye milipuko...mna keraaaaaaaaaaa .....
...Mnaa kerraaa
..Tuacheni wenye TRA tunywe bia zetu....
Kumbe hata Bar huko mnaomba beer?
Si wacha kwenda tu.
Unakuta mtu umekaa zako unapiga ka ndovu na noah jitu linakuja linasema lina kiu!