Omba dua ndoto kama hii isikutokee

Omba dua ndoto kama hii isikutokee

supercool

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
49
Reaction score
13
kijana mmoja aliota amekufa na yupo mbinguni.Akiwa huko aliambiwa na malaika kuwa alitolewa roho kwa bahati mbaya hivyo atarudishwa duniani kama mnyama.kijana huyo alichagua awe kuku.Mara akajikuta yupo kwenye kibanda huku akipata hisia asiyoifahamu.Akamuuliza jogoo pembezoni mwake; ni hisia gani hii? Jogoo akamwambia ushawahi kutaka wewe ;kijana akajibu bado:jogoo akamwambia :Basi hilo ni yai linataka kutoka hivyo kamua kwa nguvu.Akakamua mara ya kwanza yai likatoka.Akaendelea kukamua tena likatoka jengine.Ghafla akasikia mtu anamwamsha: wee ---- mbona UNAKUNYA kitandani? jamaa alichanganyikiwa
 
Asante Mungu kwa kuingia hii thread, nimeongeza cku za kuishi kwa kucheka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom