Double Elephants
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 522
- 465
Wana Jf, hivi ndugu Omary Mapuri aliyekuwa Propagandist wa CCM miaka ya 90 yupo wapi? Na je, mnakumbuka propaganda zake? Mwenye taarifa atujuze.
Daaah Huyu jamaa siku hizi anauza gongo tena maarufu kwa jina la baba ubaya.
Ooooh! Kinauche hautaki, we njoo maeneo ya tandale muulize almaarufu baba ubaya yuko wapi watakupeleka.Haiwezekani. Ina maana amefulia hivyo? Siyo kweli.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Ooooh! Kinauche hautaki, we njoo maeneo ya tandale muulize almaarufu baba ubaya yuko wapi watakupeleka.
Sio Tanzania?Huyu jamaa kwa sasa ni Kamishna wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar.