Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,760
- 165,341
Oil chafu
NANI kapita huko MAFIA kupitia ugambani?
Ni baada ya kuamini kuwa hakutendewe haki katika kura za maoni katika jimbo la Mafia.
Bwana Kimbau amerudia kauli ya Baba wa Taifa kuwa watanzania wakiyakosa mabadiliko ndani ya CCM,watayatafuta nje ya CCM
Chanzo:ITV
Hivi ukosefu wa haki unaonekana tu baada ya kushindwa?