Omarion Out Jidenna In Oya Jidenna ia coming to Kenya

Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,481
2,346
1496849179102.jpg
 
mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..
Hehehe eri zee zee zee usinimalize kabla nikule supper mse!!
 
mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..
Kuna wivu wa maendeleo na kuna chuki ya maendeleo.

Wewe unasound kama una chuki ya maendeleo.
 
mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..
Unatafuta mme sio .

Achana na waswahili hawana muda na mambo ya kijinga wanajenga nchi yao kimya kimya

Vitu vingine sio vya kujivunia .

Upuuzi mtupu
 
mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..
hahahaha... i have to admit that you always crack my ribs
 
mamaaa neeema hizi dah! hawa wasanii wamepiga foleni kuja nchini hadi rahaa aisee wangeamua kwenda kwa waswahili inakuaga tabu maana hawaskii lolote wasanii wakitema yai na mashairi ya kweli...wengi huishia kukenua kwenye show, wakiimba ze ze zee zao tu..
Kenya kwenye mziki ni shamba labibi acha wanaume waje wapige pesa waondoke zako bakieni na alshababu wenu
 
Back
Top Bottom