bab aziziya
Member
- Jan 5, 2012
- 17
- 1
aisee kumbe !!! wabaya wake si wataenda kumpinga misikitiniWe ni mchonganishi,unajua wazi watu wa mafia wengi ni ma ustadh sasa unataka wamchukie na kumuona kafir kwa kufungua bar..siasa za maji taka hizi alijisemea mzee sam sitta huu usemi na mpaka leo unafanya kazi
Na Ushahidi huu hapa:aisee kumbe !!! wabaya wake si wataenda kumpinga misikitini