hiyo kinga ita expaya tuNa wenzie akina Fuji Mori wapo lupango. Mtoto wa Fujimori naye ndani. Almost 3 former presidents are in Prison. Wetu wana kinga ya asili hawana dhambi.
Umeona sasa hizo drama mkuu? Naona washirika wake wana buy time ili kupunguza hasira za wananchi ili wakamuhifadhi uko Kampala mkuu.No taarifa zinazotolewa kapelekwa gerezani. Lakini hakuna taarifa za kuonekana gerezani.
Nadhani jeshi linaogopa pressure ya raia maana bado wamefyata.
Lakini Museven kashasema atampa asylum nchini mwake.
Yule wa kwanza aliekua ameapishwa kuongoza baraza la kijeshi alijiuzuru baada ya kalele za waandamanaji kua nyingi, na hii ilitokana na yeye kuhusishwa kua ni mshirika mkubwa wa Al-bashir.Kumbe kuna mwingine alijiuzuru? Lakini unataka kusema jeshi na watumishi wote walimchukia al bashir?
Mark my words hii ni drama mkuu na intention ni ku buy time ili kupunguza hasira za wananchi mwisho wa picha anaenda asylum KampalaYule wa kwanza aliekua ameapishwa kuongoza baraza la kijeshi alijiuzuru baada ya kalele za waandamanaji kua nyingi, na hii ilitokana na yeye kuhusishwa kua ni mshirika mkubwa wa Al-bashir.
Mkuu, ni lazima utambue sio kila kinachofanywa na askari anafanya kwa kupenda, hata wao hawapend ukatiri kwa raia sema sometimes wanafanya hivo kutokana na kiapo
Yawezekana bt muda utaongeaMark my words hii ni drama mkuu na intention ni ku buy time ili kupunguza hasira za wananchi mwisho wa picha anaenda asylum Kampala
Yawezekana bt muda utaongea
Hiyo ni njia jeshi lake limamua kumweka huko kama kisingizio ili kwenye ile mahakama kuu kule nje washindwe kumshika sio kwamba wanamkomoa hapana na ukiangalia na umri alio nao nao ni kama wamempumzisha tuuJinga kabisa acha likae lupango,,
Ameshindwa hata kusoma alama za nyakati,,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa hivi wamejawa kiburi na majigambo. Wanajisahau kwamba madaraka ni dahamanaUjumbe umefika. Hadi hako ka wimbo
Umesikia shahidi akielezea jinsi Bwashee alivyotoka nduki baada ya mlio wa risasi!
Bwashe ni mtawala wa wapi kweli?Umesikia shahidi akielezea jinsi Bwashee alivyotoka nduki baada ya mlio wa risasi!
Atakuwa kapata Salam huyo mtani Magonjwa Mtambukajohnthebaptist hana shida! Tatizo ni huyu Magonjwa Mtambuka