Sina uhakika sana kama kisa hiki kilitokea kweli lakini kama kilitokea KUDOS kwa mtenda. In addition to that, i wish to do exactly the sama. Soma mwenyewe:
" Et jamaa kaingia bar kwa fujo.. JAMAA:lete bia hapa,na kila mmoja humu ndani mpe bia yake,maana nikinywa bia nataka kila mtu anywe bia.. WATU:Haaa..wakapewa bia JAMAA:Lete mchemsho hapa,na kila mmoja mpe mchemsho wake,mana nikila mchemsho na kila mtu ale mchemsho WATU:eeee..makofi kwa jamaa..muhudumu akawapa JAMAA:leta bili hapa na kila mtu mpe bili yake mana ninapolipa bili nataka nione kila mtu analipa bili yake..
WATU: Vilio na mayowe!!
USIKU MWEMA