Ole serikali ya jk! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ole serikali ya jk!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jilanga, Aug 11, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wapendwa wanajf habari zenu! I hope nyote kwa uweza wa Mola mko pouwa! Ndugu zanguni nawaalikeni rasmi katika dua/maombi ya mwezi mmoja ya kuiombea serikali ya Jk kushindwa kukabiliana na changamoto za kileo kwani bila hivyo kadri siku zinavyosonga tunaweza kuwa na wakati mugumu zaidi! Nasema hivi kwa sababu mafuta yalikuya yauzwa 2000-2300/lita na yalikuwa yakipatikana kwa urahisi leo hii nimepanga folen toka asubuhi mpaka saa 12:00 noon bila mafanikio na yanapopatikana wanauza 3000! Nauliza hapa mtaniambia serikali ya Jk si legelege? Ikiwa ni legelege ni hatima yake?
  Mungu ibariki Tz!
   
Loading...