Ole Sendeka aeleza siri ya ukimya wake bungeni

Ile kauli ya kuweka komma kwenye zoezi la teuzi itawaibua wa kujipendekeza wengi sana
 
Viongozi wetu kwa Unafiki tumewazoea yule mwingine anasema Watanzania wamemwambia hawataki Katiba Eti Wanataka Maendeleo hao Watanzania alikutana nao wapi mbona yeye Mwenyewe Alishuriki Bunge la KATIBA akala na POSHO
 
Mkuuu hiki chama ndio kinatusababishiaa umaskin mkubwa sana na dhiki chama hakina muelekeo mpya kila cku upuuz ule ule
Na ndiyo hawa hawa wanao tutaka eti tuhamie Burundi iwapo tutashindwa kulipa kodi zao kandamizi. Yaani wameigeuza hii nchi kuwa mali yao na vizazi vyao.

We ngoja tu! Ipo siku tutaamka tu kutoka usingizini.
 
Very sad,Watu wasiojulikana hawakuwa likizo, wakienda mafunzoni, Sasa wanakuja wakiwa hatari zaidi
 
Kila siku viongozi ni watoto wao tu sie watoto wa watu ukisoma sana nafasi kuwa umekuwa Doctor ova ma naibu na ma waziri ni watoto wao tu ila kuna siku tutaelewana tu
 
huwa najiuliza watu kama hawa wanapataje kura kutoka kwa wananchi
 
Ole sendeka Ana tumbo kubwa Sana hopefully atakuwa na kibamia pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…