Ole Naiko mrithi wa Lowassa monduli

Ole Naiko mrithi wa Lowassa monduli

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2008
Posts
10,942
Reaction score
437
Kutoka chanzo cha kuaminika inasemekana mrithi wa mh Lowassa monduli ameshajulikana.mkurugenzi mstaafu wa kituo cha uwekezaji bwana emmanuel ole naiko.kwa wale mnaomfahamu tujuzeni habari za mtu huyu.
source-diwani wa viti maalumu na mtu wa karibu wa ole naiko.
 
RIP tu yeye kama keshapendwa zaidi
 
Mtoto wa sokoine anaitwa joseph sokoine ni afisa ubaloz wa tz uk
 
Back
Top Bottom