Ole Mushi: Serikali ina lugha gongana, imekuwa ikitudanganya tunanunua ndege, kujenga reli & Stieglers kwa fedha zetu kumbe tunakopa

Kukopa sioni kama ni Tatizo, isipokuwa tunachanganya mambo mawili, tunakopa kuwekeza kwenye maeneo yenye Tija?
 
Ukishauwa sekta binafsi ( kusomesha namba) ni lazima mapato yatapungua tu maana huweziukausha mito ikuleteayo maji maji yataongezeka Kwa miaka NNE ni takribani sekta binafsi milioni 3 zimekufa tumepoteza sh ngapi kwa mwezi michango ya mifuko ya jamii,kodi,tozo mbalimbali taasisi zote za umma zilitegemea sekta binafsi kukusanya mapato si nssf,tra,Sumatra,tfda,TBS,brella,nk,kusomesha watu namba eti kukaza vyuma,kuwanyoosha ni sawa na kujiniga shingoni eti unalikomoa shingo at the end ni sawa na kujiuwa mwenyewe,tukishafikia ukomo wa kukopa tutategemea nn tena
 
Serikali haina fedha kazi ni kijimwambafai tu na kusema TRA inakusanya kodi haijawahi kutokea wakati vyanzo vya mapato halmashauri zimenyang'anywa na kuelekezwa TRA. Swala ni moja tu tumekopa na hatujengi kwa fedha zetu za ndani wachumi wa uvccm acheni kutumika kama ganda la muwa ukiisha utamu utatemwa
 
Mleta mada umeandika vizuri sana, sio kwamba ulichokiandika ao wanao ipinga serikali na kukosoa hawafahamu nini kinaendelea ila wao kama Nyumbua watiifu kabisa wamechagua upande wa kupinga mipango yote ya serikali. Serikali mara ya mwisho imekusanya mapato ya mwezi kupitia vyanzo vya TRA pekee trillion 1.97 kwa mwezi wa 12 hiyo ukiacha vyanzo vingine vya kodi.
Hiyo inaonyesha kwasasa upo uwezekano serikali ukawa inakusanya karibu trillion 2 kwa mwezi hizo nifedha nyingi japo si nyingi kulingana na mahitaji yetu kama nchi. Fedha tunazo kopa tunalipa kwa makusanyo yetu sisi. Kama tunakopesheka acha tukope kwakua tunayo fanya yanaonekana na yataliondoa taifa ili katika utegemezi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwezi kuomba mkopo bila kuwa na mali au dhamana ukakubaliwa na benki yoyote ile. Kama Serikali imepewa mkopo maana yake ina mali za kutosha zisizohamishika na ni sahihi kusema inajenga kwa pesa zake yenyewe.
 
Watu wajinga bana. Hata hili mnapotosha?

miradi hii inajengwa kwa mikopo sawa tu na alivyokuwa anafanya Kikwete, Mkapa na Mwinyi.

Mila awamu hii inakopa zaidi kuliko watangulizi wake.
 
utajiri wa “mtu” hauwi defined na cash in the bank account, rather assets owned. Na kwa nchi vile vile tunaangalia resources tulizoko nazo ambazo we can turn them into monetary terms.

Wacha kamba WEWE!

Niwe na mabilioni ya cash kwenye benki akaunti yanaachaje kupima utajiri wangu ????

Eti tunapima kwa assets zinazoweza kugeuzwa kuwa pesa, sasa kama ninazo pesa tayari kwa nini zisipime utajiri ? we umesoma wapi mambo ya financing, kwenye warsha za VIKOBA vya mama Ntilie? ???
 
Mleta mada umeandika vizuri sana, sio kwamba ulichokiandika ao wanao ipinga serikali na kukosoa hawafahamu nini kinaendelea ila wao kama Nyumbua watiifu kabisa wamechagua upande wa kupinga mipango yote ya serikali. Serikali mara ya mwisho imekusanya mapato ya mwezi kupitia vyanzo vya TRA pekee trillion 1.97 kwa mwezi wa 12 hiyo ukiacha vyanzo vingine vya kodi.
Hiyo inaonyesha kwasasa upo uwezekano serikali ukawa inakusanya karibu trillion 2 kwa mwezi hizo nifedha nyingi japo si nyingi kulingana na mahitaji yetu kama nchi. Fedha tunazo kopa tunalipa kwa makusanyo yetu sisi. Kama tunakopesheka acha tukope kwakua tunayo fanya yanaonekana na yataliondoa taifa ili katika utegemezi.

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA wanaripoti mapato yote yanayokusanywa na taasisi zote na mfumo wa makusanyo ni wa Electronic kwahiyo wanajua kila kinachkousanywa na taasisi zote za serikali
 
Kukopa si pesa yako unaitumia in advance?,mkopo si hisani au msaada, acha siasa uchwara
SERIKALI IMEKUWA IKITUDANGANYA KUWA INATUMIA FEDHA ZA NDANI KUMBE INAKOPA?

View attachment 1356880
Na Thadei Ole Mushi.

Mjadala wa hili umekuwa mkubwa Sana baada ya Serikali kuendelea kukopa huku ikidai kuwa miradi yote inayotekeleza inatumia fedha za Ndani. Nini maana ya Mkopo na nini maana ya fedha za Ndani? Mimi sio mchumi leo kwenye ukurasa huu yupo Mchumi Victor Tesha atajibu maswali yote kuhusu tofauti Kati ya fedha za Ndani na Mkopo unaweza muuliza Swali. Kwa kuanzia yeye kasema:-

"Mkopo ni fedha bank inayokupa kwa mkupuo au kwa utaratibu mliokubaliana (e.g mortgage loan... Kama unakopa kwa ajili ya kujenga nyumba fedha hii inatolewa kwa stage kutokana namna nyumba inavyojengwa... wanakupa ya msingi ukimaliza ya kati na kupau etc)

Swali lilioibuka leo ni fedha za mkopo ni za bank au mkopaji? Yaani kama nchi tunavyosema tunajenga na fedha zetu wakati serikali imekopa ina maana gani?

Serikali kwa sasa inatekeleza miradi mingi mikubwa kwa hio haiwezi kuwa na enough fund to cater for all projects at per, na sio kwamba serikali haina hizo fedha kwenye reserves no inazo na inaziweka kwa ajili ya emergence ikiwa ku order vitu kama mafuta (petroleum products etc ) madawa nakadhalika.

Kuna kitu kinaitwa projections (forecasts) yaani mfanyabiashara anakuwa anakadiria kitaalamu na kuna formula ya makadirio kuwa mwaka huu wa fedha sales zangu zitakuwa kiasi hichi... na anapoenda kukopa bank bankers wanafanya analysis based on that projection, audited and management accounts.

So unachukuwa fedha bank kutokana na utakachozalisha so fedha hizo zikisha ingia kwenye account ni zako ni fedha zako. Sio za bank tena.

Sisi kama taifa tuna resources nyingi tunakusanya kodi hasa kipindi hichi cha awamu ya 5 watu wanalipa kodi kwa hiari na kwa vile wanaona matumizi ya kodi yao basi wanawiwa kulipa kodi bila shuruti. Kwa kuwa uwezo wa kulipa Kodi umeongezeka na uwezo wetu wa kukopa na kulipa umeongezeka.

Sio kila mtu anakopesheka so kama nchi tunapewa mkopo maana yake tuko credible and we have good character .

Ni kweli nchi hii ni tajiri sana, utajiri wa “mtu” hauwi defined na cash in the bank account, rather assets owned. Na kwa nchi vile vile tunaangalia resources tulizoko nazo ambazo we can turn them into monetary terms.

Kwa hio matajiri wote duniani hukopa, sio kwasababu ni masikini hapana kuna wakati mtu anahitaji emergency Loan kwa vile suppliers wameshindwa kumlipa kwa wakati etc mifano ni mingi.

Au mwajiriwa anavyoomba mkopo (salary loan) sio kwa sababu ni masikini au hana pesa la hasha anahitaji fedha nyingi kwa wakati ule kwa ajili ya jambo fulani labda kujenga. Baadaye analipa kidogo kidogo anamaliza Mkopo wake hivyo fedha anayokopa si ya bank Tena Bali ni Mali yake kwa kuwa atalipa.

Tushukuru kuwa nchi yetu inakopesheka na tunaweza kulipa. Fedha za Mkopo Ni zetu na tutazilipa kwa vyanzo vyetu vya mapato vya ndani. "

Swali lolote muulize..... Otherwise tuufunge huu mjadala kwa kusema tulikuwa hatuelewi Nini maana ya Mkopo Vs Fedha za ndani

Ole Mushi.
0712702602.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi ni sehemu gani utapewa mkopo bila riba? Ivi ukiwa Nyumbu huwezi kujiongeza ata kidogo? Serikali ilisha acha kufanya biashara sasa itaendeshaje miradi mikubwa kwa kutumia mapato ya ndani bila kukopa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Basin watanzania wasiwe wanadanganywa,waambiwe ukweli kuwa hi miradi inajengwa kwa pesa za mkopp ambazo baadae tutazilipa
 
SERIKALI IMEKUWA IKITUDANGANYA KUWA INATUMIA FEDHA ZA NDANI KUMBE INAKOPA?

View attachment 1356880
Na Thadei Ole Mushi.

Mjadala wa hili umekuwa mkubwa Sana baada ya Serikali kuendelea kukopa huku ikidai kuwa miradi yote inayotekeleza inatumia fedha za Ndani. Nini maana ya Mkopo na nini maana ya fedha za Ndani? Mimi sio mchumi leo kwenye ukurasa huu yupo Mchumi Victor Tesha atajibu maswali yote kuhusu tofauti Kati ya fedha za Ndani na Mkopo unaweza muuliza Swali. Kwa kuanzia yeye kasema:-

"Mkopo ni fedha bank inayokupa kwa mkupuo au kwa utaratibu mliokubaliana (e.g mortgage loan... Kama unakopa kwa ajili ya kujenga nyumba fedha hii inatolewa kwa stage kutokana namna nyumba inavyojengwa... wanakupa ya msingi ukimaliza ya kati na kupau etc)

Swali lilioibuka leo ni fedha za mkopo ni za bank au mkopaji? Yaani kama nchi tunavyosema tunajenga na fedha zetu wakati serikali imekopa ina maana gani?

Serikali kwa sasa inatekeleza miradi mingi mikubwa kwa hio haiwezi kuwa na enough fund to cater for all projects at per, na sio kwamba serikali haina hizo fedha kwenye reserves no inazo na inaziweka kwa ajili ya emergence ikiwa ku order vitu kama mafuta (petroleum products etc ) madawa nakadhalika.

Kuna kitu kinaitwa projections (forecasts) yaani mfanyabiashara anakuwa anakadiria kitaalamu na kuna formula ya makadirio kuwa mwaka huu wa fedha sales zangu zitakuwa kiasi hichi... na anapoenda kukopa bank bankers wanafanya analysis based on that projection, audited and management accounts.

So unachukuwa fedha bank kutokana na utakachozalisha so fedha hizo zikisha ingia kwenye account ni zako ni fedha zako. Sio za bank tena.

Sisi kama taifa tuna resources nyingi tunakusanya kodi hasa kipindi hichi cha awamu ya 5 watu wanalipa kodi kwa hiari na kwa vile wanaona matumizi ya kodi yao basi wanawiwa kulipa kodi bila shuruti. Kwa kuwa uwezo wa kulipa Kodi umeongezeka na uwezo wetu wa kukopa na kulipa umeongezeka.

Sio kila mtu anakopesheka so kama nchi tunapewa mkopo maana yake tuko credible and we have good character .

Ni kweli nchi hii ni tajiri sana, utajiri wa “mtu” hauwi defined na cash in the bank account, rather assets owned. Na kwa nchi vile vile tunaangalia resources tulizoko nazo ambazo we can turn them into monetary terms.

Kwa hio matajiri wote duniani hukopa, sio kwasababu ni masikini hapana kuna wakati mtu anahitaji emergency Loan kwa vile suppliers wameshindwa kumlipa kwa wakati etc mifano ni mingi.

Au mwajiriwa anavyoomba mkopo (salary loan) sio kwa sababu ni masikini au hana pesa la hasha anahitaji fedha nyingi kwa wakati ule kwa ajili ya jambo fulani labda kujenga. Baadaye analipa kidogo kidogo anamaliza Mkopo wake hivyo fedha anayokopa si ya bank Tena Bali ni Mali yake kwa kuwa atalipa.

Tushukuru kuwa nchi yetu inakopesheka na tunaweza kulipa. Fedha za Mkopo Ni zetu na tutazilipa kwa vyanzo vyetu vya mapato vya ndani. "

Swali lolote muulize..... Otherwise tuufunge huu mjadala kwa kusema tulikuwa hatuelewi Nini maana ya Mkopo Vs Fedha za ndani

Ole Mushi.
0712702602.
Mzee pesa ya mkopo ni hela yako pia, utapaswa kuilejesha tena na riba, kama utaitumia vibaya ni shauri yako, hivyo sioni lugha gongana hapo. Labda jambo la msingi hapo ni ingekuwa kwamba huu ni mwaka wa uchaguzi, je hiyo hela ya mkopo itakwenda kukutmika kama ilivyokusudiwa?
 
Watanzania wanafanywa kama watoto wasioelewa😂. Wajua ni uongo na subiri upinzani uchukuliwa kila kitu uone hata message kama hizi hautaruhusiwa ujue hilo hasa kama wewe ni CCM
 
Inaonekana mradi ulisimama. kwa kukosa pesa.

Ila ninahisi riba za huo mkopo sio rafiki kabisa.

Any way kwa sababu ni kitu cha watu wote na maendeleo hayana chama, hongereni serikali kwa juhudi hizi.

Ila tupunguze kujitapa kwamba tuna pesa na tunafanya miradi hii mikubwa kwa pesa zetu.

Tunapenda mtupe ukweli, na siasa tuweke kando.
 
tungesimamisha kwa muda ule wa kuhamia dodoma, maana hauna tija kiuchumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom