Ole Gunner Solsdier the tactician

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
967
1,693
Vs Roma..(7-2)
Vs Rb Leipzig..(5-1)..cjui Bila
Vs Southampton..(9-0)
Vs Leeds..(5-1 6-2)
Kamaliza wa 2 kwny league..na lose 6 sawa na champion..
Kafika fainali EUROPA....(tukakaa lkn)....

Hana mbinu...misimu 3 mfululizo..yupo top 3..Hana mbinu huyooo... consecutive away wins..cjui 22 kama cjakosea...HANA MBINU huyo..??.

Sema tu game tukipotea..tunapoteaga mazima hajui kubadilika..ila mbinu anazo...hao mnaowasifia...na mbinu...wote wamemaliza chini yetu msimu ulopita..ukimtoa pep

Alafu mtu Hana mbinu...we huez kua sawa...ninyi tukipigwa mechi moja..mnachanganyikiwa...mnapata hype..(ndo maana tunaitwa nyumbu..)

Fans ninyi mnataka makombe tu..mvimbe.. ndo maana tupo sisi tunaomsifia..Mourinho na van gaal 7bu walitupa makombe...

Ila kiukwel..ole is the most consistent coach since Fergie...

Japokua mm cmkubali na nnataka aondoke..
 
Makosa ambayo hata Mecky Mexime hawezi kufanya, ndio anayofanya yeye NA hapo ndipo ama panawapa sifa makocha bora au panawanyima sifa kina Ole.

Vitu basic vikushinde, ukafanye complex? Ni kwamba na wachezaji nao wanapenda ushindi, hivyo wanajituma tu, ikitokea wamepangwa kwa kuelewana ndo hivyo matokeo yanafurahisha, wakipangwa ilimradi tu, hata wajuhudike vipi, mnakaa tu.

Ole ni wa utopolo.
 
Nyumbu huwa haelewi mpaka aone damu inamwagika
FB_IMG_16316505025420068.jpg
 
Vs Roma..(7-2)
Vs Rb Leipzig..(5-1)..cjui Bila
Vs Southampton..(9-0)
Vs Leeds..(5-1 6-2)
Kamaliza wa 2 kwny league..na lose 6 sawa na champion..
Kafika fainali EUROPA....(tukakaa lkn).....

Hana mbinu...misimu 3 mfululizo..yupo top 3..Hana mbinu huyooo... consecutive away wins..cjui 22 kama cjakosea...HANA MBINU huyo..??..

Sema tu game tukipotea..tunapoteaga mazima hajui kubadilika..ila mbinu anazo...hao mnaowasifia...na mbinu...wote wamemaliza chini yetu msimu ulopita..ukimtoa pep

Alafu mtu Hana mbinu...we huez kua sawa...ninyi tukipigwa mechi moja..mnachanganyikiwa...mnapata hype..(ndo maana tunaitwa nyumbu..)

Fans ninyi mnataka makombe tu..mvimbe.. ndo maana tupo sisi tunaomsifia..Mourinho na van gaal 7bu walitupa makombe...

Ila kiukwel..ole is the most consistent coach since Fergie...

Japokua mm cmkubali na nnataka aondoke..
Mmasai hatowapa kombe lolote nyumbu fc
 
Wewe Manure naona umevurugwa kweli kweli!
 
Back
Top Bottom