mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,923
- 58,404
Kati ya sayansi na mungu NANI ALIKUWA WA KWANZA KUWEPO?Hadithi za kusadikika. Evolution. Kwenye hivi vitabu hakuna Scientific proof kuwa hawa watu wawili walikuwepo. Ni hadithi za kukufanya ujione wewe tofauti na viumbe wengine. Je, mbona kwenye biblia au kurani hakua panapotaja Dinosaur wakati tuna vizibiti kuwa walikuwepo millions of years kabla ya binadamu. Mamba, chura na samaki wana umri kabla ya binadamu.
Sayansi sababu ina evidence. Haya mambo mengine ni kuandika na kuedit kadiri muda na utashi unaporuhusu.Kati ya sayansi na mungu NANI ALIKUWA WA KWANZA KUWEPO?
KATI YA SAYANSI NA BIBLIA NA QURAN KIPI CHA KWANZA KUWEPO DUNIANI?
Rudi tena shule.kama sayansi na mungu sayansi ni ya kwanza kuwepo duniani.Sayansi sababu ina evidence. Haya mambo mengine ni kuandika na kuedit kadiri muda na utashi unaporuhusu.
Shule ipi tena? Ina maana maprof. wangu wa vyuo nilikopitia wote wajinga? Basi hakuna shule tena.Rudi tena shule.kama sayansi na mungu sayansi ni ya kwanza kuwepo duniani.
Pole sana mkuuTanzania tuna michoro Iringa na kwa warangi, tuna Olduvai Gorge, yenye kila aina ya vivutio na historia ya kudhihirisha binadamu walikuwa jamii ya nyani au sokwe, ndipo wakaanza kutembea, kupoteza manyoya, kubadilika "features", ubongo kukuwa, kupata maendeleo na kadhalika.
Tatizo wazungu hasa wanasayansi ndio wanasema hivi, wanadai mpaka vithibiti vipo kwamba tulikuwa wanyama na kubadilika kuwa binadamu.
Tanzania nasi twajitahidi kutunza hivi vivutio vya kitalii na kisayansi kama Wamisri...
Upande mwingine tena Mwarabu na Mzungu wanadai Mwenyezi Mungu aliumba dunia siku 7! Wote tumesoma maandiko haya kwenye Agano la Kale na kwamba akaumba binadamu wawili Adam na Eve..
Sisi Watanzania hasa, kipi cha kuamini kati ya haya tulioletewa, kwamba tulikuwa nyani au tuliumbwa?!
Ila yote naona twafaidika nayo, ila kama hili Taifa lina waumini wa Kiislamu na Kikristo kweli kuna haja na kuwa na hivi vivutio?! Hamuoni kama twajichanganya imani zetu au imani tulizoletewa na wenyewe?!
Je wakija tena na lingine hawa Wazungu au Waarabu je tutatupa haya madini yao na vivutio, kuanza kuamini mapya sababu wamesema wao?!
Na kama tunaamini hayo yote basi tukubaliane na zile thread humu kwamba Mzungu na Mwarabu wana akili kuliko sisi, wasemacho ndicho tunachoamini, abudu, ndio maisha yetu!
AU?!
Wazungu hawakuwepo wako hivo baada ya miaka mingi hata nikihamia kwingine nakuwa mweupe au mwesi kulingana na hali ya hewa ya sehemu husikaMimi Nina swali moja.
Wakati waafrika walipokuwa manyani
Wazungu wao walikuwa akina nani?watu kamili au na wao walikuwa ni manyani?
na kwanini waseme binadamu Wa kwanza alikuwa nyani.je huyo nyani Wa kwa kwanza ndo Alikuwa Adam?
Hapa cha kwanza ni dini, na mwanasayansi ndiye aliboresha dini kuligana na muda unavoenda.Tulikuwa tunaabudu kila mtu kivyake/ kifamilia baadae sayansi ikawepo tukakusanywa na kuingia jumba moja liitwalo kanisa au msikiti kama si sayansi hiyo misikiti na makanisa visingekuwepo, japo tulianzia kwenye mapango/sinagogi.Sayansi sababu ina evidence. Haya mambo mengine ni kuandika na kuedit kadiri muda na utashi unaporuhusu.
Nami nakuunga mkono watu washindwa kuelewa kuwa hizo ni adithi tu na adith zenyewe zimekuja baada ya sayasi kukua.Hadithi za kusadikika. Evolution. Kwenye hivi vitabu hakuna Scientific proof kuwa hawa watu wawili walikuwepo. Ni hadithi za kukufanya ujione wewe tofauti na viumbe wengine. Je, mbona kwenye biblia au kurani hakua panapotaja Dinosaur wakati tuna vizibiti kuwa walikuwepo millions of years kabla ya binadamu. Mamba, chura na samaki wana umri kabla ya binadamu.
Swali lako la kwanza ni gumu kidogo ila la pili hivo vitabu 2 vinaitegemea sayansi ili viwepo mengine ni mbwebwe tu, mara kimeshuka, mara naponyesha viwete .......Kati ya sayansi na mungu NANI ALIKUWA WA KWANZA KUWEPO?
KATI YA SAYANSI NA BIBLIA NA QURAN KIPI CHA KWANZA KUWEPO DUNIANI?
Mhu huyo mwanasayansi aliyegundua dini nieleze mkuu.Hapa cha kwanza ni dini, na mwanasayansi ndiye aliboresha dini kuligana na muda unavoenda.Tulikuwa tunaabudu kila mtu kivyake/ kifamilia baadae sayansi ikawepo tukakusanywa na kuingia jumba moja liitwalo kanisa au msikiti kama si sayansi hiyo misikiti na makanisa visingekuwepo, japo tulianzia kwenye mapango/sinagogi.
Mkuu kwamba gradually sokwe wanabadilika kuwa binadamu hadi sasa! Na bado binadamu tunazaliana!Carter badiliko huwezi liona kwa macho ukiwa hai.Mfano babu ya babu ya babu yako hajawahi muona si ajabu alikuwa giant na alikuwa na mataya makubwa kuliko yako lakini wewe hujui maana hujaona
Imefika wakati Watanzania hasa tuhoji haya yote, wameleta vitabu, wakasema tuamini, tukaamini mpaka tumeigeuza dini kuwa biashara kama wao, wakaja na hizi theories, zenye vithibiti kwa kufanya carbon date, tunaamini!Hadithi za kusadikika. Evolution. Kwenye hivi vitabu hakuna Scientific proof kuwa hawa watu wawili walikuwepo. Ni hadithi za kukufanya ujione wewe tofauti na viumbe wengine. Je, mbona kwenye biblia au kurani hakua panapotaja Dinosaur wakati tuna vizibiti kuwa walikuwepo millions of years kabla ya binadamu. Mamba, chura na samaki wana umri kabla ya binadamu.
Kabisa, na tatizo letu ndilo hilo, dini ni ya kurithishwa, hutaki utake lazima uamini, ukianza kuuliza haya yote watakwambia amini shetani! Ila ni maswali ya kujiuliza. Pia nakubali kuna mambo fulani maishani yako yanaweza tokea, ya kukusaidia au kukunyoosha maishani, yanatokea kimaajabu au sababu ya ujinga wako, au labda ulikuwa hujuwi wala kutegemea, je kuna higher power sehemu inayofanya haya mambo?! Tulivyoumbwa yaonekana lazima tuamini kitu..Ni shida kwa kweli..Swali lako la kwanza ni gumu kidogo ila la pili hivo vitabu 2 vinaitegemea sayansi ili viwepo mengine ni mbwebwe tu, mara kimeshuka, mara naponyesha viwete .......
Hakuna kitu kama hicho binadamu alizaliwa kama binadamu, kuku alizaliwa kama kuku hakuna nini wala nn, mbwa akazaliwa kama mbwa unavomuona leo hakuna cha mbwea au mbwa mwitu, swala kama swala na mbuzi kama mbuzi kila kiumbe kilikuja na mbadala wake au rafiki yake ila viumbe vingine tumebadirka kutokana na kubadirka kwa mazingira na chakula tunachukula, jiulize kwa sasa binadam wa kuishi miaka 200 unaweza kumpata leo ? kutoka miaka 200 au 500 hadi kufika 100 au 45 sio kwamba ilishuka ghafla bin vuuu !!! ni mlolongo mrefu wa maisha ukihusisha vyakula zaidi ukichanganya na urith wa kizazi kimoja hadi kingine.Mbona nyani wa sasa hivi hawabadiliki kuwa binadamu? Evolution imeishia wapi na kwa nini?
Sawa kabisa, leo utasikia ushoga sawa tu (Anglican), kwingine mashoga wanauliwa kinyama, leo utasikia hatukuziki kama hauko kwenye jumuiya yetu, kule kwenye vitabu wanadai Yesu anakaribisha hata kondoo waliopotea, leo utasikia ukijilipuwa na mabomu na kuuwa makafir utakutana minato 70! (Kama vile dushe litakuwepo bado)! Huku kwenye Koran tukufu wasomi wanadai hakuna kitu kama hicho, basi shaghalabaghala mkuu!Sayansi sababu ina evidence. Haya mambo mengine ni kuandika na kuedit kadiri muda na utashi unaporuhusu.
Imagine hizi dini mbili kubwa ukristu na uislam ulikuja baada ya dini zetu za mababu ambazo vijijini wengine hata wakijifanya wanaabudu dini za kuja, wakipata mishike kibao wanarudi kule kwenye ujima wetu. Buddhism imeanzishwa na Buddha more than 600 BC, Hinduism ndiyo nzee kuliko hata hiyo na watu bado wanaabudu miungu yao na wanaishi na kumeremeta sana tu. At the moment Westerners wameturn kwenye Buddhism na ni wengi ingawa hawatakwambia ila they practice it through internet, meditation na kusafiri kwenda ambapo wanaweza kujifunza hii movement. Ni Movement ambayo haiamini kama kuna Mungu ila ukifa inategemea ulikuwa na mienendo gani. Incarnation inakuja pale kama tunavyoambiwa kuna maisha mbinguni kwa dini zetu hizi mbili.Sawa kabisa, leo utasikia ushoga sawa tu (Anglican), kwingine mashoga wanauliwa kinyama, leo utasikia hatukuziki kama hauko kwenye jumuiya yetu, kule kwenye vitabu wanadai Yesu anakaribisha hata kondoo waliopotea, leo utasikia ukijilipuwa na mabomu na kuuwa makafir utakutana minato 70! (Kama vile dushe litakuwepo bado)! Huku kwenye Koran tukufu wasomi wanadai hakuna kitu kama hicho, basi shaghalabaghala mkuu!
Talk about "Bendera fata upepo" eehh?!
Asante kwa kunifanya nienguwe kicheko..Mm nkimwangalia yule pombe naanza kuamin theory ya evolution binadam alikua nyani
Another "critical thinking", thank you...Imagine hizi dini mbili kubwa ukristu na uislam ulikuja baada ya dini zetu za mababu ambazo vijijini wengine hata wakijifanya wanaabudu dini za kuja, wakipata mishike kibao wanarudi kule kwenye ujima wetu. Buddhism imeanzishwa na Buddha more than 600 BC, Hinduism ndiyo nzee kuliko hata hiyo na watu bado wanaabudu miungu yao na wanaishi na kumeremeta sana tu. At the moment Westerners wameturn kwenye Buddhism na ni wengi ingawa hawatakwambia ila they practice it through internet, meditation na kusafiri kwenda ambapo wanaweza kujifunza hii movement. Ni Movement ambayo haiamini kama kuna Mungu ila ukifa inategemea ulikuwa na mienendo gani. Incarnation inakuja pale kama tunavyoambiwa kuna maisha mbinguni kwa dini zetu hizi mbili.