Old zouk asili ya zouk

Tafuta nyimbo za Mfalme wa Zouk Africa,late Oliver Ngoma jamaa alikuwa ni noma kwakweli,kuna kitu yake moja inaitwa Lusa Gitaa likipigwa na Mchawi mwenyewe Dally Kimoko,wewe acha tuu,kweli vizuri havidumu aisee.
 
We acha tu.
Kuna wanamusik wa Afrika Magharibi hakuna mfano
. Iliver Ngoma
Monique Sseka
Na Afrika ya kati ni
M,bilia Bell
Tshalla mwana
Oliver mtdukuz
Ni hatari mazee.
 
Monique Sseka macho yake tu!! Dah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…