GAS STATE JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 1,770 Reaction score 959 Jul 21, 2017 #1 Amani ya Mungu iwe Nanyi wakuu nina fedha za kizamani nauza kwa yeyote mdau wa hili tuwasiliane(pm). Sarafu ni za pre na post Uhuru kwa maana za Malkia na Kambarage, pia msaada wa soko kwa anaejuwa lilipo tafadhali. Ahsante.
Amani ya Mungu iwe Nanyi wakuu nina fedha za kizamani nauza kwa yeyote mdau wa hili tuwasiliane(pm). Sarafu ni za pre na post Uhuru kwa maana za Malkia na Kambarage, pia msaada wa soko kwa anaejuwa lilipo tafadhali. Ahsante.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,669 Reaction score 167,705 Jul 21, 2017 #2 Naomba kujua kama hautajali, kazi ni nini?
Stroke JF-Expert Member Joined Feb 17, 2012 Posts 39,914 Reaction score 50,961 Jul 21, 2017 #3 Aisee nipeni bei ya shilingi tano ya afrika mashariki ya mwaka 1958.
B buruhani2 Member Joined Nov 29, 2016 Posts 82 Reaction score 10 Jul 26, 2017 #4 Weka number mkuu Sent using Jamii Forums mobile app