Disclaimer: nafanya kazi ambayo inanipa fursa kukutana na wanawake/kina dada wengi sana
Basi kuna mdada mmoja uzuri wastani ila ana shape ya kuuza nyumba
Yana ana sex appeal kama mwanaume umekamilika ukimwona lazima uwaze jinsi akiwa hana nguo
Hua anakuja mara kwa mara kazini kwetu kufatilia mambo yake
Kazini kwetu kuna wanaume plus mimi tupo wa3 wote network search yani kwamba mrembo hawezi tupita hivi hivi
Kwa bahati mbaya huyo mrembo alianza kuja fatilia mambo yake wakati mimi nipo likizo
Nilivorudi nikakuta jamaa zangu washa tangulia wana namba zake wana chat chat ila sikujua wamefikia wapi
Ikabid niwe kauzu binti akija nakua naongea naye tu as matter of fact
Jana kaja ofisini ilikua mida ya lunch nimebaki mwenyewe mimi ni mzee wa late lunch ivo hadi wenzangu hua wakirudi ndio naenda mimi
Binti alivofika kafanya mambo yake then akaja kwenye cube yangu kaka samahani simu yangu niliweka mezani sasa ivi siioni naomba simu yako niipige yangu
Akanipa namba yake tukaipiga ikawa inaita tu hadi inakata but hatukusikia mlio wowote
Yeye anasema aliweka vibration
Nimeisaka mule ofisini kama dak 5 sioni dalili ya simu
Baadae akaaga anaenda akasema maybe hakuja nayo
Nikaendelea na shughuli yangu
Nilivo rudi home mida ya saa 3 usiku
Naona namba mpya kupokea yule mrembo anajitambulisha kanambia simu yake aliipata kumbe alisahau kwenye gari
Tukapiga story mbili tatu
Kabla ya ku hang up mwanaume nika mpenyezea kama naweza kuonana naye kwa lunch
Nimepewa date ijumaa lunch time
Kwa akili yangu ya ujames bond nishaelewa mtoto alikua anataka nini
Ila niseme tu ile mbinu yake ni old but classic
Najua hachomoki huyu.