'Okwi Asaini Yanga' msaada pls

adakiss23

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
4,937
Reaction score
5,361
Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
wamemsajiri kutoka timu ya tunisia au..Okwi mwingine
 
Mwenye copy ya gazeti la yanga lililoandika Okwi kamwaga wino jangwani kwa mamilioni naomba anisaidie. Shukrani wakuu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Mie ninalo la Ngasa kusaini Jangwani.
 
Hilo gazeti litakua la msaada gani kwako wakati Okwi mwenyewe ni mchezaji halali nadhani wa Etoile du Sahel
 
Yanga na Simba are both useless. Hawa wachezaji wanaokuja kuzichezea hizi timu inabidi wapimwe akili.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…