rainy forest
Member
- Sep 15, 2014
- 91
- 41
Mkuu kwanza pole kwa kuuguliwa,...
Pili hongera kwa kufanya juhudi kubwa za kusaidia afya ya mama yako...
Tatu kwa sasa endelea na juhudi za kushughulikia afya ya mama...
Nne shukuru Mungu kwa kukupatia ndugu, akiwemo huyo dada yako...
Tano tambua kuwa kila binadamu kaumbiwa kasoro zake... hata wewe...
Sita muombe Mungu akusaidie uvumilivu wa mapungufu ya wengine,...
Saba, tambua kuwa dada yako hiyo ni tabia yake kaumbiwa na Mungu... mshukuru Mungu
Nane, mama yupo kwenye stress ya maumivu, naamini maamuzi anayofanya yanaweza kuwa na kasoro... alipona na akapata mda wa kutuliza hasira atamsamehe dada
Tisa, muache tu dada alivyo, yeye ni mtu mzima...
Kumi haina haja ya kuendelea kuelezea huu mkasa hapa... hasa kama umenielewa kwenya hayo tisa hapo juu...
Babu yangu aliniambia, "mtu mwenye tabia yake haachi"
Kila binadamu ana mapungufu yake. Ukishayajua yakubali na mengine yaepuke....
Kuhusu uhusiano wa dada yako na mama yake, waache watasort things out wenyewe.....
Kwa sasa muuguze mama yako
mkuu pole sana kwa yaliyokukuta!
pili mshukuru mungu kwa kua na wazazi wawili wangali hai(ulisema mzee ana 80 yrs)
Kwa sasa cha kufanya endelea kuangalia afya ya mama kwa ukaribu zaidi mpaka hali yake iwe ya kuridhisha/apone.
khs huyo dada yako, napata wasiwasi pengine yeye na mama wana jambo lipo nyuma ya pazia! inawezekana ni kuhusu baba yake mzaz, pengine mama hakumweleza ukweli kwamba baba yako sio baba yake au kunaweza kua na jambo lingine.
USHAURI.
jaribu kutafuta suluhisho ikishindikana mhusishe ndugu wenu wa karibu katika familia! usiegemee upande wa mama au wa dada, mwisho utafanikiwa!
Best of lucky
Naamini utalkubaliana na mimi kwamba watoto wa kike wana shida sana kwenye kuwapenda mama zao.
Yaani hata kama ndo saikolojia inatuambia kwamba watoto wa kike hupenda sana baba zao lakin huku nje field hii hali imezidi.
Najiuliza kwanini sipati jibu
Hapa siwezi kusema lolote aisee...
Maana mie ni Ke halafu mama yangu nampenda mnoooooo, she is the apple of my eye....
Mkuu kwanza pole kwa kuuguliwa,...
Pili hongera kwa kufanya juhudi kubwa za kusaidia afya ya mama yako...
Tatu kwa sasa endelea na juhudi za kushughulikia afya ya mama...
Nne shukuru Mungu kwa kukupatia ndugu, akiwemo huyo dada yako...
Tano tambua kuwa kila binadamu kaumbiwa kasoro zake... hata wewe...
Sita muombe Mungu akusaidie uvumilivu wa mapungufu ya wengine,...
Saba, tambua kuwa dada yako hiyo ni tabia yake kaumbiwa na Mungu... mshukuru Mungu
Nane, mama yupo kwenye stress ya maumivu, naamini maamuzi anayofanya yanaweza kuwa na kasoro... alipona na akapata mda wa kutuliza hasira atamsamehe dada
Tisa, muache tu dada alivyo, yeye ni mtu mzima...
Kumi haina haja ya kuendelea kuelezea huu mkasa hapa... hasa kama umenielewa kwenya hayo tisa hapo juu...
mmmhh napita mnajuana....