YeshuaHaMelech
JF-Expert Member
- Oct 12, 2010
- 2,596
- 38
Flexibility? I don't understand clarify pleaseyea.. flexibility, security and development time, please?
yea.. flexibility, security and development time, please?
mbona umeanza kufundisha wakati unajua ni week end sisi wengine tupo kwenye hick! hick! hick! *&^%$. any way nita-kach upAny Question? :welcome:
Hujasema OS uliyo nayo.kesho nitakuwa humu. naaza darasa rasmi YeshuaHaMelech ameniahidi kunipa beginners tutorial. kama kuna mtu anataka kuja na elimu kuhusu python basi anakaribishwa hatutaki blabla za C++, C# sijui .net kama wewe unaona C++ ni nzuri basi fungua thread na uanze kusifia huko na si hapa. kwa kifupi naomba niulize swali. Nahitaji kuwa na nini kwenye pc yangu ili nianze tutorial za python. vile vile napenda kusoma pascal(Delphi) maana nimesoma mahali kuwa unaweza ku-convert python to Delphi. thow delphi imepitwa na wakati. ninauelewa kidogo na delphi.
Developer cntrol is absolute! You have control over problem while it manages dirty stuffs like memory management. No pointers, no declaration. You just focus on problem.come on! be specifi please, I just want to know if it worth some time.
flexibility = developers control on some functionality ( at least that's what I meant)..
DB compatibility?