Oil sahihi ya subaru SJ5

kazy

Senior Member
Joined
Sep 13, 2012
Posts
126
Reaction score
50
Wadau heshima kwenu,mgeni kidogo hapa,msaada tutani nina sj 5 na kwenye kizibo oil inayotakiwa nimeona ni OW 20,na nimekuta kuna kampuni mbili aina ya alphard titanic ila nimeshangazwa sana na utofauti wa bei wa hizi kampuni mbili titanic nimeambiwa ni 150 wakati alphard ni 55,000 naomba ushauri kwa wajuzi ipi ni nzuri zaidi na kwanini utofauti wa bei ni mkubwa kiasi hcho ,au kuna kupigwa?
 
Hiyo Subaru ilitengenezwa kwa soko la Japan, nchi yenye baridi kali ndio maana ilitakiwa itumie oil ya 0W20 , kama upo Dar, tumia oil yenye grade 10W30 synthetic..
Grade ya oil inategemea hali ya hewa gari inapotumika sio aina ya gari.
0W20 ni nyepesi sana kwa hali hewa ya kwetu. Fanya utafiti basi na wewe Google, ChatGPT
 
kwa hyo unataka kuniambia W20 ni nyepesi sana haifai,mhh wakati wenyewe ndio wamerecommend itumike kwenye gari yao mh nina mashaka.
 
kwa hyo unataka kuniambia W20 ni nyepesi sana haifai,mhh wakati wenyewe ndio wamerecommend itumike kwenye gari yao mh nina mashaka.
Achana na huo ushauri wa jamaa. Tumia oil iliyoandikwa tu na Subaru.

Zipo brand kama castor au Atlantic, zinaeleweka. Nunua kwa dealer ili uwe na uhakika.
 
kwa hyo unataka kuniambia W20 ni nyepesi sana haifai,mhh wakati wenyewe ndio wamerecommend itumike kwenye gari yao mh nina mashaka.
 
fata ushauri wa mtengenezaji wa gari akisema 5w 20 au 0w 20, ukijifanya mjuaji kwa subaru andaa milion 7 ya engine nyingine, kuua engine ni kugusa ile sio TOYOTA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…