K kipili Member Joined Oct 6, 2011 Posts 29 Reaction score 6 Jan 13, 2012 #1 nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama imechomolewa).nini tatizo na suluhisho
nina gari used toyota cresta.sehemu ya kupimia engine oil mara nyingine hukuta imechafuka kwa oil na maeneo yote kuzunguka hapo, pia naweza kuikuta dip stick imejivuta kwa juu,(kama imechomolewa).nini tatizo na suluhisho
Isaac Chikoma JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 475 Reaction score 101 Jan 14, 2012 #2 jaribu kuwaona mafundi garage watakuambia nini cha kufanya,inaweza ikawa filter zimepasuka,kama hujafanya service muda mrefu pia nia tatizo.
jaribu kuwaona mafundi garage watakuambia nini cha kufanya,inaweza ikawa filter zimepasuka,kama hujafanya service muda mrefu pia nia tatizo.