Oil & Gas Engineering China Scholarships

Gr8thinker

New Member
Joined
Sep 2, 2010
Posts
4
Reaction score
0
Mbona Majina ya waliochaguliwa Scholarship ya kwenda kusoma China Masters na PHD kwa wanafunzi 22 mpaka sasa hayatangazwi na wizara husika Nishati na Madini? Kuna nini jamani?

Mwenye taarifa atujuze maana wengi walikua shortlist ila mpaka sasa kimya na mwezi wa 9 mwanzoni vyuo ndo hufunguliwa.
 
watu washapigiwa simu/email ijumaa wanaenda wizarani kufuata documents zao
 
mbona watu wameshamaliza hatua zote sasa hiv wanashughulikia visa tu, kumbuka 😱nly shortlisted will be informed for interview.
 
Hayo hapo mkuu angalia kama umebahatika KILA LA KHERI

wametoa kupitia website ya wizara ya Elimu
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…