Da kweli wala sijafurahi sema ndio maana sikuwa director, ilikuwa ni series nzuri mno na nafikiri wengi wetu tuliipenda sana ila ndio hatuna ujanja na kiukweli director alijitahidi sana na kwa hakika imekwisha vizuri.
Ila it was among the marvelous television series acha tuone sasa director atakuja na nini kimpya.
jamani imeisha vipi? kwani season 4 si ina epsode 22,imekuwaje inaishia epsode ya 21?,sijaweza kuingalia bado ndio nai-download ipo 79% dah sijui nitapata wapi show kama PB maana ilinishika kisawa sawa.